skip to main |
skip to sidebar
HAMISA MABETO AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE
Modo maarufu na muigizaji chipukizi nchini, hamisa mobeto amejifungua mtoto
wa kike. Staa huyo anayechipukia amejifungua ivi karibuni na kuwashangaza
wengi kwani mimba hiyo ilikuwa na usiri mkubwa tofauti wafanyavyo mastaa
wengine (zari ), Mobeto Amezaa mtangazaji maarufu Majizo ambae ni...
mkurugenzi wa EFM
Hongera sana, duuh!! Ila hii mimba wambea wengi walikuwa hawajaipata,
khaa!! Utatuua kwa presha aisehh loh, haya sasa nawapa assignment wambea
wenzangu kumtambua au kumtaja baba mtoto wa hamisa.
0 comments:
Post a Comment