Pages

Subscribe:

Friday, April 10, 2015

MIMBA YAMKOSESHA AUNT EZEKIEL DILI ZA PESA

Staa mrembo wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel, amesema kwamba anatamani kujifungua, kwani amechoshwa na mimba yake, kwa sababu imemfanya ashindwe kupata kazi ya kucheza filamu nyingine. Akizungumza na mwandishi jana, msanii huyo alisema kuwa mialiko ya kucheza filamu imekata na sasa haingizi kipato chochote, badala yake... pesa inatoka, hali ambayo inamfanya atamani ajifungue ili aondokane na adha hiyo. “*Siyo siri nimechoshwa na hii mimba, natamani hata leo nijifungue, kwani sipati tena tenda za kwenda kuigiza ambazo huwa zinaniingizia pesa ya kujikimu na sijui lini nitajifungua lini. Alisema Aunt

0 comments:

Post a Comment