Thursday, April 2, 2015
SARMY CLEVER KUFUNGA NDOA AGOST MWAKA HUU
Jana tarehe 01 April ktk pita pita zangu mtandaoni nilikutana na post ya mwana bongo fleva Sarmy clever ambayo alikuwa amopost picha ya msichana (Huyo pichani) na kuandika maneno yanayo mtambulisha kuwa ndiye mwandani wake atakaye funga naye ndoa Sarmy aliandika hivi...
Happy born day my baby
Jamani nsaidie kumwish my baby siku yake yakuzaliwa.
Inshallah m\mungu akijaalia mwezi wa nane ntafunga nae ndoa.
Hahaha utani tu ,nirafiki yangu tu. Alisema Sarmy.
Lakini kama unakumbuka vizuri jana ilikuwa ni 01 April ambayo hujulikana kama siku ya wajinga hivyo ilikuwa ni kama utani tuuu akitaka kuwashika wajinga...!!
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment