Pages

Subscribe:

Thursday, April 2, 2015

TUNDU LISU: FILAMU ZA PONOGRAFIA AU X SIYO KOSA KWA WATU WAZIMA

Tundu Lissu amesema leo bungeni dodoma kuwa,Filamu za Ponografia siyo kosa la jinai dunia nzima isipokuwa ni mambo ya wakubwa,Na akaomba kifungu hicho kifutwe. Kumbukeni lissu amesisitiza kwa watoto... ndio kosa si kwa watu wazima. Next time watakuja na muswada ku-control kila kinachofanyika bedrooms

0 comments:

Post a Comment