skip to main |
skip to sidebar
USTADH JUMA NA MUSOMA AFULIA ILE MBAYA KWA SASA
Habari zilizotufikia hivi karibuni ni kwamba Ostazi Juma na Musoma
amechoka mbaya. Habari hizi pia zimethibitishwa na PNC, yule msanii
aliyempigia magoti Ostazi kumuomba msamaha na kujikuta akidhalilisha kwa
Video na Picha kuwekwa mtandaoni na Juma. Kweli wahenga walisema... you'll pay da price to be da boss na sasa Ustadh
yupo katika wakati mgumu anasota na wire kama Dallas wa Wolper.
0 comments:
Post a Comment