Pages

Subscribe:

Thursday, December 3, 2015

DIAMOND AMLETA GODFATHER NCHINI TZ


 
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond anaweza akawa amejaribu kitu kingine kikubwa kwenye muziki wake kwa kumleta Director mkubwa wa Afrika kusini, Godfather kushoot video yake nyumbani.


Kwa mujibu wa video aliyoiweka siku ya jumatatu [Nov. 30], Diamond ambaye alikuwa na director huyo na watu wengine kwenye gari alisikika akisema Godfather amesema anapapenda Kigamboni,  Japo hajasema wamekuja kushoot video gani kuna asilimia...
kubwa ikiwa video ya wimbo aliofanya na Mafikizolo,
Diamond aliwahi kusema kuwa video ya collabo aliyofanya na wanamuziki hao wa Afrika kusini itafanyika baadhi ya sehemu za Tanzania na Afrika kusini.

Watch Here 

0 comments:

Post a Comment