Mafahari wawili wameweza kukaa zizi moja, Boss wa HKN Davido na CEO wa Starboy Entertainment, Wizkid wameperform kwa pamoja kwenye moja ya show iliyofanyika Lagos, Nigeria kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2012.
Wasanii hao ambao wamewahi kuhusishwa na beef, wamethibitisha kuwa wamepatana kiukweli baada ya kupanda kwenye steji na kuimba pamoja kwenye show ya...
Remy Martin club tour huko Lagos.
Miezi michache iliyopita Davido alitangaza ujio wa wimbo wao wa pamoja lakini ilikuwa kimya mpaka walivyoonekana pamoja tena jana, Lagos.
Mastaa hao wote walitangaza kuachia album zao mwaka huu lakini wamezisogeza hadi mwakani 2016.
0 comments:
Post a Comment