Thursday, June 30, 2016
DARMIAN SOUL ASIMULIA ALIVYOPATA TABU NA NGOMA YAKE KAUMBA
Damian Soul amesema wimbo wake ‘Kaumba’ aliomshirikisha Vanessa Mdee ulimtoa jasho haswaa – kama sio kamasi kabisa. Amedai kuwa wimbo huo ulizaliwa alipokuwa nchini Kenya mwaka jana kwenye kipindi cha Maisha Superstars. Anasema alitaka kufanya wimbo na Nameless aliyemwambia kuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
BLACK RHYNO ASHEREHEKEA MIAKA MINNE YA NDOA
Rapper Black Rhyno ni mfano halisi kuwa ndoa za mastaa kumbe zinawaweza kudumu kama za raia wa kawaida. Leo rapper huyo na mke wake, Beatrice wanasherehekea miaka minne ya ndoa yao na wanaendelea kuonesha kuwa thabiti. Miaka minne iliyopita, June 30 walifunga ndoa yao.
Wawili hao walifahamiana chuoni na kuwa na uhusiano kwa miaka mingine kibao kabla ya kufunga ndoa, Black Chatta ameshare picha kadhaa za ndoa yao kwenye...
Labels:
HABARI & UDAKU
PREZZO AJINADI KUWA NA UKARIBU NA FOYD MAYWEATHER
Mfalme wa bling bling nchini Kenya, Prezzo amedai kuwa bondia tajiri wa Marekani, Floyd ‘Money’ Mayweather ni mshkaji wake na huwa wanapiga story za hapa na pale. “Mimi nina connection, mimi na Floyd Mayweather yule bondia mimi na yeye tunaongeaga yaani,” Prezzo alikiambia kipindi cha Funiko Base cha Radio 5 ya Arusha.
“Fight yake sio ile iliyopita, ya mwisho, ile fight yake ya 48 alikuwa amenialika shida ilitokea kwamba nilikuwa sijarenew visa yangu ya America na huwa kuna bonge la foleni, so siku yeyote nikienda Las Vegas usishangae...
Labels:
HABARI & UDAKU
DOGO JANJA: SIWEZI KUZIKWA DAR ES SALAAM
Msanii Dogo Janja leo kupitia kipindi cha Planet Bongo ameweka wazi wosia wake kuwa siku ikitokea amefariki hataki kuzikwa Dar es Salaam bali anatakiwa kusafirishwa na kurudishwa nyumbani kwao Arusha.
Dogo
Janja alisema kwa utani kuwa hawezi kuzikwa Dar es Salaam kwa sababu ya
jua kali na joto kali bali anahitaji mwili wake siku akidondoka
ukazikwe Arusha na si Kondoa wala...
Labels:
HABARI & UDAKU
RUBBY: YAMOTO BAND HAWAKUONA UMUHIMU WANGU
Msanii Ruby ambaye ameshirikishwa kwenye wimbo mpya wa Yamoto Band unaofahamika kwa jina la 'Suu' amefunguka na kupinga kauli iliyotolewa na maneja wa Yamoto Band, Mkubwa Fella kuwa yeye ana stress ndiyo maana maana alishindwa kutokea kwenye video.
Akiongea
na mwandishi Rubby amesema Yamoto Band
hawakuona umuhimu wake kwenye video hiyo ndiyo maana waliweza kushoot
video hiyo siku ambayo yeye alikuwa busy na mambo yake mengine, na
kusema kutokana na...
Labels:
HABARI & UDAKU
BILL NAS: NAMUHESHIMU SANA TID
Akiongea
kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Bill Nas amesema TID ni mtu
muhimu sana kwake kwani ana mchango mkubwa kwenye maisha yake na muziki
wake kiujumla.
"TID ni mtu ambaye mi namuheshimu sana, ana mchango kwenye muziki wangu na mambo mengine, hata leo unaposikiliza ligi ndogo ni kati ya chorus kali sana ambazo mi naziheshimu sana, lakini kuhusu kutoka radar na vitu vingine, nilikuwa nataka...
"TID ni mtu ambaye mi namuheshimu sana, ana mchango kwenye muziki wangu na mambo mengine, hata leo unaposikiliza ligi ndogo ni kati ya chorus kali sana ambazo mi naziheshimu sana, lakini kuhusu kutoka radar na vitu vingine, nilikuwa nataka...
Labels:
HABARI & UDAKU
HADITHI: NYUMA YA MACHOZI (sehemu ya kumi na moja) 11
MTUNZI: Ally Mbetu ‘Dr Ambe’
ILIPOISHIA:
“Sawa,” Kinape aliitikia huku akimshika mkono Happy aliyekuwa ameiva na kuwa mwekundu kwa hasira. “Hebu ngoja,” Happy alijitoa mkononi mwa Kinape. “Happy hebu msikilize mwenzako,” Kilole aliingilia kati baada ya kuona Happy akitafuta msaada kwake. “Sikiliza dada, Kinape ananinyanyasa sana.” “Mdogo wangu ngoja nizungumze na mgeni, tutalimaliza nina imani kabisa Kinape anakupenda sana.” Kinape na Happy walitoka nje na kuwaacha Kilole na Jimmy.
SASA ENDELEA...
Usiku baada ya kutoka kumpiga picha za aibu Kilole, Jimmy alikuwa mtu mwenye mawazo mengi sana. Toka aanze kazi ile hakuwahi kukutana na tukio zito kama lile, Tokio kubwa lilikuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU,
LOVE & STORY
VANESSA MDEE AELEZA WASI WASI WAKE JUU YA LEBO ZA MAREKANI NA AFRIKA
Vanessa Mdee ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania wenye moyo mzito kila linapokuja suala la kusainishwa na label za nje. Ni kwasababu anaamini mfumo wa label za Kimarekani hauwezi kuzaa matunda kwenye...
Labels:
HABARI & UDAKU
B.O.B MICHARAZO KUTOA WIMBO MPYA HIVI KARIBUNI
Member wa kundi la B.O.B Micharazo, Beka Tittle amesema muda siyo mrefu wataachia wimbo wao mpya kutoka studio ya MJ Records. Hivi karibuni mambo yalionekana kuwa tofauti kati ya Mr Blue, Sugu na uongozi wa Mj Records hali iliyozua maswali ya kuvunjika kwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
WEMA AUFUNGUKIA UGOMVI WAKE NA AUNT
Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu amefungukia ugomvi ambao hutokea mara kwa mara na shosti wake ambaye pia ni muigizaji, Aunt Ezekiel usiingiliwe na mtu kwani wanapogombana tofauti zao wanazimaliza wenyewe na si mtu mwingine yeyote.
Wema alisema kuwa, yeye na Aunt ni watu waliopo karibu sana na wanaopendana hivyo inapotokea wanagombana huwa ni kitu kidogo kwao kwani...
Labels:
HABARI & UDAKU
CHID BENZ: DAWA ZA KULEVYA KWANGU ITABAKI HISTORIA
Mkali katika muziki wa Bongo Fleva, Rashidi Makwiro ‘Chid Benz’, amesema matumizi ya dawa za kulevya yamempa mafunzo makubwa na itabaki kuwa historia kwake. Chid Benz alidai kwamba dawa za kulevya zimeharibu maisha yake kwa kiasi kikubwa na yamemdhalilisha yeye na...
Labels:
HABARI & UDAKU
FELLA: RUBBY ANA STRESS NDIYO MAANA HAJAONEKANA KWENYE VIDEO YA YAMOTO BAND
Meneja wa kundi hilo, Said Fella amesema kuwa hiyo ndio sababu aliyokuwa akipewa na Ruby. Amedai kuwa baada ya kuona kuwa Ruby amekuwa akitoa sababu hiyo kwa muda na hawakutaka asishiriki akiwa hana mood, walilazimika...
Labels:
HABARI & UDAKU
MR. BLUE: MIMI NDIYO NILIMTOA ALIKIBA BANGI ILINIFANYA NISHUKE KIMUZIKI
Tazama Video Hapa Akifunguka:
Watch Here
Labels:
HABARI & UDAKU,
VIDEOS
GIGGY MONEY ATANGAZA KUMUACHA MWARABU WAKE SABABU YA UBAHILI
Akichonga na Mwandishi, Gigy Money alisema katika maisha yake hapendi mwanaume bahili wala asiye na fedha hivyo kwa kuwa mwarabu huyo ambaye awali alikuwa akimpatia hela nyingi, na sasa...
Labels:
HABARI & UDAKU
Wednesday, June 29, 2016
FID Q AUELEZEA USHINDI WA BLACK COFFEE ASEMA KUNA HIT "SONGS" NA BEST "SONGS"
Fid Q amesema kilichowafanya watu washangae ushindi wa Black Coffee kwenye tuzo za BET mwaka huu na kuwashinda waliokuwa wakitarajiwa zaidi kushinda kwenye kipengele cha Best International Act: Africa, ambao ni Wizkid, Diamond au AKA, ni kutokujua kuwa kuna tofauti kubwa kati ya ‘hit songs na best songs.’
“Hizi awards nyingi zinachaguaga best song sio hit song, nikimaanisha ya kwamba Prakatatumba ile ni hit song lakini sio...
Labels:
HABARI & UDAKU
HADITHI: NYUMA YA MACHOZI (sehemu ya kumi) 10
MTUNZI: Ally Mbetu ‘Dr Ambe’
ILIPOISHIA:
“Jimmy, mzigo wako huu hapa, hizi ni laki na nusu, hamsini za kusafishia na laki moja adivansi ukileta picha zangu nakumalizia laki na nusu. Ila kuna zawadi yako kubwa kama utakuwa msiri, kuna kazi nyingine ya milioni moja.”
“Wacha!”
“Wewe tu kuonesha uaminifu.”
“Basi dada kesho saa nne nakuletea mzigo wako, andaa fedha yangu tu.”
“Hakuna tatizo, tutaonana kesho, lakini chonde chonde siri hii asijue mtu yeyote.”
“Nakuhakikishia siri hii itabakia kwa watu wawili mimi na wewe tu.”
“Haya, usiku mwema.” SASA ENDELEA...
Kilole aliagana na Jimmy na kurudi ndani, alipofika kitandani alivua nguo zote na kujilaza pembeni ya Kinape. Alfajiri kilevi kilipomwisha Kinape alishtuka...
Labels:
HABARI & UDAKU,
LYRICS
COMMING SOON!! Lady JayDee_Sawa Na Wao
Baada ya Ndi ndi ndi kufanya vizuri Soon!! Lady JayDee - Sawa na Wao itatoka siku ya Monday, July 4 2016
Labels:
HABARI & UDAKU
SAUTI SOL: MAMBO YA DIAMOND NA ALIKIBA NI SIASA YA TANZANIA HATUONI SHIDA KUFANYA NAO KAZI WOTE
Savara amekiambia kipindi cha Super Mega cha Kings FM kinachoendeshwa na Divine Kweka aliyeuliza iwapo kundi hilo linaona kuwa uimbaji wa Alikiba unaendana zaidi na mtindo wao kuliko wa Diamond.“Mimi ni msanii, yule ambaye...
Labels:
HABARI & UDAKU
MR. BLUE: MBOGA SABA NI HABARI KUBWA
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Mr Blue amesema hajawahi kupata mapokezi mazuri katika muziki wake kama aliyoyapata katika video yake mpya ya wimbo ‘Mboga Saba’ Akiongea Jumatatu hii, Mr Blue amesema kuna vitu vingi vimechangia kazi hiyo kuwa kubwa kwa muda mfupi.
“’Mboga Saba’ hii ni kazi ambayo imefanya vizuri zaidi kwa muda mchache kuliko ngoma zangu zote, mara nyingi nyimbo zangu zinaanza...
Labels:
HABARI & UDAKU
TID: MIMI NI MTOTO WA KISHUA
Msanii TID ameamua kuwajulisha watu siri ya maisha yake, hususan wale wanaomchukulia poa kuwa amechoka, lakini si kweli. Akiongea kwenye mahojiano TID maesema tangu utotoni mwake amelelewa kwenye...
Labels:
HABARI & UDAKU
JENNIFER HUDSON ASAIN RECORD DEAL NA EPIC RECORDS
Labels:
HABARI & UDAKU
JIKE SHUPA AMPA MAKAVU SHILOLE
Mwanadada aliyefanya vizuri kama Video Queen wa wimbo wa msanii Nuh Mziwanda wa Jike Shupa aitwaye Zena Abdallah, ambaye anapenda jina lake la kisanii kama Jike Shupa, ameibuka na kudai kuwa ‘pacha’ wake, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ni mchafu.
Akizungumza katika mahojiano rasmi, msichana huyo alisema hapendi na anakasirishwa sana kuona watu wakimfananisha na staa huyo wa muziki, akidai hafanani naye kwani yeye ni mzuri na...
Labels:
HABARI & UDAKU
DOGO JANJA AWAPASOMO WANAOMBEZA DIAMOND
Rapper huyo ambaye ameachia remix ya wimbo ‘My Life’ hivi karibuni akiwa amemshirikisha Radio & Weasel kutoka Uganda, ameiambia Bongo5 kuwa hatua aliyoifikia Diamond kimataifa ni...
Labels:
HABARI & UDAKU
BARAKAH DA PRINCE AFUNGUKIA UJAUZITO WA NAJMA
Akizidi kufungukia tetesi hizo Barakah aliongeza kusema kuwa alipanga kuachia kazi mwanzoni mwa Julai lakini ameshindwa baada ya kupata...
Labels:
HABARI & UDAKU
ZARI: MSINIFANANISHE NA MAL*YA AMBAO HAWAJAWAHI KUINGIA LEBA
Labels:
HABARI & UDAKU
Monday, June 27, 2016
HADITHI: NYUMA YA MACHOZI (sehemu ya tisa) 09
MTUNZI: Ally Mbetu ‘Dr Ambe’
ILIPOISHIA:
“Jimmy ukiifanya kazi kwa ufanisi nitakupa laki mbili.” “Utani huo sister!”
“Sina utani kwa jambo nitakalo kuahidi.”
“Sawa, wacha nikuache uendelee na mambo mengine.”
Jimmy aliondoka na kumuacha Kilole akitengeneza nyumba kwa ajili ya sherehe ya kutengeneza ya birhtday yake. Sebule aliipamba na kupambika ikawa katika muonekana wa kupendeza.
SASA ENDELEA...
*******
Majira ya saa mbili usiku kila kitu kilikuwa kimepangwa sehemu yake, Kinape na mpenzi wake nao walikuwepo kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa Kilole.
Ilikuwa sherehe iliyozuka kama uyoga, ule ulikuwa mpango...
Labels:
HABARI & UDAKU,
LOVE & STORY
TAZAMA BAADHI YA PICHA ZA RED CARPET YA BET
Labels:
HABARI & UDAKU
NAY WA MITEGO KUWATAMBULISHA ANAO WASIMAMIA
Labels:
HABARI & UDAKU
BAADA YA KUKOSA PENATI MESSI ATANGAZA KUSTAAFU SOKA
Argentna ikipoteza mchezo wa fainali ya Copa America mbele ya Chile ‘La Roja’,hatimae mshambualiaji huyo wa Barcelona ameamua kuachana na timu yake ya taifa kwa kutangaza...
Labels:
HABARI & UDAKU
HII NDIYO ORODHA KAMILI YA WASHINDI WA TUZO ZA BET 2016
Beyonce ameonyesha thamani yake kwa kuchukua tuzo tano za BET
zilizofanyika usiku wa Juni 21 kwenye ukumbi wa Microsoft Theater, Los
Angeles.
Queen Bey amefanikiwa kuibuka na tuzo hizo ikiwemo ya Best Female R&B/Pop Artist, Video of the Year, Coca-Cola Viewers Choice Award, Centric Award huku wasanii wengine waliofanya vizuri kwenye tuzo hizo ni...
Queen Bey amefanikiwa kuibuka na tuzo hizo ikiwemo ya Best Female R&B/Pop Artist, Video of the Year, Coca-Cola Viewers Choice Award, Centric Award huku wasanii wengine waliofanya vizuri kwenye tuzo hizo ni...
Labels:
HABARI & UDAKU
MKUBWA NA WANAWE WATOA MSAADA HOSPITALI YA TEMEKE
KITUO cha kuvumbua na kuendeleza vipaji vya muziki cha Mkubwa na Wanawe, kimetoa msaada wa vifaa vya tiba na usafi, dawa za meno, sabuni, maji na juisi kwa wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam. Said Fella, alisema wameamua kufanya hivyo kutokana na...
Labels:
HABARI & UDAKU
BIFU LA WAKONGWE TID NA DULLY SYKES LAZIDI KUSHIKA KASI
“Kwanza ile ngoma mwenyewe ndio alitaka kuwepo baada ya kuisikia, akasema mnyama hii ngoma kali naomba niweke sauti na mimi, nikamkubalia tukarekodi, lakini alivyokuja kusikia Joh Makini yupo akanipigia simu tena usiku, akaanza...
Labels:
HABARI & UDAKU
DIAMOND AJIPANGA UPYA BAADA YA KUKOSA TUZO MTV HII NDIYO KAULI YAKE
Haya maneno ya Diamond kuhusu wimbo wake mpya aliyoandika Twitter: "Haya Ongeeni Vizuri na waganga wenu Baada ya siku...
Labels:
HABARI & UDAKU
Saturday, June 25, 2016
KAULI YA TID BAADA YA BILL NASS KUTIMKIA LABEL YA LFLG
Msanii wa muziki na Mkurugenzi wa kundi la Radar Entertainment, TID
ameingia kwenye mgogoro na rapper Billnas aliyekuwa member wa kundi hilo
kabla ya kutimkia katika label mpya ya ‘LFLG’.
Mapema mwaka huu Billnas aliiambia Bongo5 kuwa aliondoka Rada bila matatizo na mtu yeyote. Akiongea na Clouds Fm, TID amedai Billnass amesahau alikotoka na hatoi...
Mapema mwaka huu Billnas aliiambia Bongo5 kuwa aliondoka Rada bila matatizo na mtu yeyote. Akiongea na Clouds Fm, TID amedai Billnass amesahau alikotoka na hatoi...
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Posts (Atom)