Akichonga na Mwandishi, Gigy Money alisema katika maisha yake hapendi mwanaume bahili wala asiye na fedha hivyo kwa kuwa mwarabu huyo ambaye awali alikuwa akimpatia hela nyingi, na sasa... anaonekana kumbania kumpa mshiko, atamtosa muda si mrefu ujao.
“Siku hizi hakuna mapenzi ya kugandana, mapenzi ni hela, mimi mwenyewe sina hela halafu nikampende mwanaume kapuku tutaendeshaje maisha sasa? Huwa sifanyi biashara hiyo, kikubwa kwangu nampenda mwanaume mwenye mkwanja, mwarabu anazo na mwanzoni alikuwa akinipa za kutosha, lakini sasa naona amekuwa bahili, namuacha,” alisema Gigy Money
0 comments:
Post a Comment