Mkali wa Bongo Fleva, Rich Mavoko ambae amesain mkataba na WCB-WASAFI hivi karibuni na sasa ngoma zake zote zitatoka chini ya lebo hiyo na
kusema kuwa wasani wanaweza kufanya kazi pamoja na kuufikisha muziki wa
Bongo sehemu fulani.
tunaenda kufanya kitu kibaya au naenda kuwa chini ya mtu,yalikuja maneno mengi sana yaliyoongelewa kwangu lakini naangalia biashara na mwisho wa siku kila mtu aingize kipato’’ Alisema Mavoko.



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment