skip to main |
skip to sidebar
ZARI: MSINIFANANISHE NA MAL*YA AMBAO HAWAJAWAHI KUINGIA LEBA
Nani amemchokoza Zari? Kwasababu kwa kile alichokipost kwenye mtandao wa Snapchat inaonekana ameguswa pabaya na amemind! Najua unajiuliza kwanini hajapost Instagram – ni kwasababu kwa
alichokiandika, povu lake lingekuwa la haja! Snapchat ya kishua, mastaa
wako huru kusema chochote na... hakuna povu kama mitandao mingine. Amesema
nini?
“Na wengine acheni kunifananisha na mal*ya ambao hawajawahi kwenda
labour,” aliandika. “Mtoto mmoja tu kwenye labour na watakaonekana kama
tikiti maji lililopasuliwa. Acheni!”
“Nikiwa na miaka 35 na watoto wanne, badi mimi ni mrembo mno kunifananisha, naomba.”
Tazama kwa picha alichokiandika:
0 comments:
Post a Comment