skip to main |
skip to sidebar
BAADA YA RICH MAVOKO SASA CHID BENZ KUTUA WCB
Msanii maarufu wa miondoko ya kufoka/kurapu Rashid Abdallah Makwiro al
maarufu kama CHID BENZ amejiunga rasmi katika lebo ya Wasafi Classic
Baby WCB Iliyo chini ya mwanamuziki machachari kabisa Diamond
platnumz.
Taarifa hizi zimepatikana kupitia mtu wa karibu sana wa Babu Tale. Na...
pia kituo cha kuaminika cha redio yaani CloudsFM kimetaarifu.
0 comments:
Post a Comment