Nuh amethibitisha kwamba Shilole ndiye aliyemuimbia kwenye wimbo huo,
kwa kumtumia video queen anayefanana na Shilole kama pacha katika video
ya wimbo huo. Sholole baada ya kuona video hiyo, aliandika...
ujumbe instagram ambao baadae aliutoa:Wale unaongozana nao wanaweza kuwa mizigo au Baraka. Shukrani za dhati kwani kwenye mashabiki zangu ambao ni baraka na pole sana wasanii wote mnaodhani bado tupo dhama za kutumia mgongo wa mtu mwingine kuweza kutoboa. Kipaji siyo maneno ila ni vitengo. Umemiss mkong’oto?. Sipendagi mwanaume mjinga ndiyo maana umekula mkong’oto wa kutosha… Mshamba usiyejua hata kubadilisha boxer, niweke mbali na maisha yako. Nikifungua mdomo wangu utadhalilik
Shilole na Nuh Mziwanda waliachana miezi kadhaa iliyopita ambapo Nuh
amekuwa alizungumzia mengi yaliyomkuta wakati akiwa kwenye mahusiano na
mwanadada huyo, huku Shilole akitaa kuzungumzia kilichotokea.
0 comments:
Post a Comment