skip to main |
skip to sidebar
MR. BLUE: MIMI NDIYO NILIMTOA ALIKIBA BANGI ILINIFANYA NISHUKE KIMUZIKI
Mr. Blue amesema kuwa yeye ndio aligundua kipaji cha Ali Kiba na kuamua
kumpeleka studio. Pia ameongeza na kusema kuwa alikuwa anavuta sana
bangi ndio sababu kubwa iliyomfanya ashuke kimuziki.
Tazama Video Hapa Akifunguka:
0 comments:
Post a Comment