Uongozi wa label ya King Cash unaomsimamia rapa Young Dee, umesitisha kuachia wimbo mpya kama ulivyoahidi wiki mbili zilizopita kwa madai ya kupinga kauli ambazo zipo kwenye mitandao ya kijamii kwamba picha hizo zilisambazwa ili waachie kazi mpya.
Jumatano hii uongozi huo ulimfikisha Amber Lulu kituo cha polisi cha Urafiki Ubungo jijini Dar es salaam ili kutoa maelezo ya kwanini aliamua kusambaza picha hizo wakati...