“Mimi kila kitu ni biashara, muziki ni biashara kwa sababu bila muziki nisingefika hapa, muziki umenipatia umaarufu ambao umenipatia...
uaminifu kwa watu” amesema.
“Hata Jaffarai ananisapoti kwa sababu yeye yupo katika biashara hii kwa muda mrefu, halafu sio kwamba nimemuingilia kwenye biashara yake kwa sababu hata studio zipo nyingi, arts siku hizi wanamilikia studio, Diamond anamiliki studio,” ameongeza.
0 comments:
Post a Comment