Je unaufahamu wimbo wa kwanza ambao umeanza kutoka chini ya studio mpya ya Rayvanny, Surprise Music? Basi fahamu kuwa ngoma iitwayo ‘Ngarenaro’ ya Dogo iliyotoka rasmi Jumatano hii ndio imekuwa ya kwanza kutoka chini ya studio hiyo ambapo...
Rash Don ndio mtayarishaji wake.
Hata hivyo tayari kuna wasanii wengine wakubwa wanadaiwa tayari wameshafanya ngoma katika studio hiyo akiwemo Madee, Maromboso na wengine.
0 comments:
Post a Comment