Pages

Subscribe:

Thursday, August 24, 2017

MUBENGA: OMMY DIMPOZ WEWE SI NDIYO ULIIMBA NANI KAMA MAMA INAKUWAJE UMTUKANE MAMA WA MWENZIO

Stori kubwa kwa sasa kwenye mitandao Tanzania ni inayodaiwa kuwa ni beef kati ya mastaa wa Bongofleva, Diamond Platnumz na Alikiba ambapo kumekuwa na majibizano huku Diamond Platnumz akitumia baadhi ya maneno yanayodaiwa kuwa ni vijembe.


Mubenga aliandika >>>“Omary mdogo wangu maandiko yanasema waheshimu wazazi upate heri na Miaka mingi duniani na mzazi sio mpaka akuzae ata mzazi wa mwenzio pia ni mzazi wako why unamuingiza mama naseb kwenye...
mambo yenu? Uko ni kukosa adabu wew si unajifanyaga innocent kwa watu kumbe una pretend? Wew sindio uliyeimba nani kama mama imekuwaje leo una watusi wa kina mama? 

“Au ndio stress za mziki? Watu wanataka video ya cheche na sio kutusi wazazi wa watu usituaribie muziki wetu kama game imekushinda please kaa pembeni pia naomba vyama vyenye dhamana ya muziki vichukue atua kali zidi ya matusi ya omary kwa mama wa diamond ili iwe fundisho kwa wengine ya kwangu ni hayo tu! #supportedbybangerzent #Mazoea link kwenye bio yangu #TUWAHESHIMUWAZAZIWETU” – Mubenga

0 comments:

Post a Comment