Msanii wa muziki wa bongo fleva Harmorapa, ameweka wazi kuwa amekimbiwa
na aliyekuwa mpenzi wake, baada yakuingia kwenye muziki na kutoboa.
Akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, Harmorapa amesema mpenzi wake huyo ambaye hajamtaja jina lake, alimuacha baada ya yeye...
kupata umaarufu, akihofia ataanza kumsaliti.
“Unajua mawasiliano yalikuwa yamepungua, na hakuna alichokifanya kunkosea au nilimkosea, unajua mapenzi haya alidai kwamba nishakuwa maarufu nitamuumiza, ila angevumilia tu”, alisema Harmorapa.
Harmorapa amesema kwa sasa hayuko kwenye mahusiano yoyote, tangu mpenzi wake huyo afunge vilivyo vyake na kuondoka zake.

0 comments:
Post a Comment