Baadhi ya Watu maarufu wa Tanzania wamezipokea taarifa hiyo kwa masikitiko na kumuandikia Lulu, hii ni ya Mwimbaji Diamond Platnumz: “Mwenyez Mungu ameamua kukupa mtihani huu wewe sababu anaamini...
wewe ni Shujaa na Imara…..pia anaamini wewe ndio msichana pekee unaeweza kuuhimili mtihani huu…. hivyo usisononeke, Make him Proud!!!”



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment