Patoranking amemtambulisha msanii wake mpya kwenye label yake, Amari Musiq. Msanii huyo anaitwa Walid na ni Mtanzania. Walid ameachia single yake ya kwanza chini ya label hiyo, Dunia.
Patoranking amemtambulisha kwa kuandika: “Dunia” @walidiy Watsup my Tanzanian People Napenda kumtambulisha kwenu msanii wangu mpya ambae ni...
MTANZANIA mwenzenu. Naomba mumpokee nategemea support kubwa kutoka kwenu na ngoma yake mpya inaitwa “DUNIA”



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment