Mwishoni mwa mwaka 2017, kijana huyo amekuwa akiposti picha zikimuonyesha amevaa nguo za ndani za kampuni ya Calvin Klein zinazovaliwa na mastaa kadhaa akiwemo...
Trey Songz.
Kupitia mtando wa kijamii wa Instagram, Idris amepost picha nyingine na kuandika “I know it’s January but I’m just bad like that, no time to waste. Money monster #MyCalvins #CalvinKlein #PreShoot #2018”
Kutokana na posti hiyo huenda Idris amepata shavu jipya katika kampuni hiyo huku akiwa mbioni kushoot filamu mpya ya “The Blue Maurtius” ya nchini Marekani inayosimamiwa na kampuni ya D Street Pictures na Benoraya Pictures.

0 comments:
Post a Comment