Mji
mmoja nchini Japan umetangaza onyo na kuzuia watu kula samaki
anayejulikana kama Fugu baada ya samaki huyo mwenye sumu kali kuuzwa
kimakosa.
mingine miwili bado haijapatikana.
Kwa mujibu wa wataalamu Samaki huyo ana sumu na yakifanyika makosa kidogo yanaweza kusababisha maafa katika taifa hilo la Japan.
Mamlaka ya mji wa Gamagori katikati mwa mji Japan wametoa tahadhari na kuwashauri watu kurejesha samaki hao kwa sababu hakuna dawa ya kutibu sumu ya samaki huyo.
Maini ya samaki huyo na ngozi yake yana sumu kali inayoitwa Tetrodotoxin na ili uruhusiwe kumuandaa samaki huyo unatakiwa upewe mafunzo maalumu na ukihitimu unapewa leseni.
0 comments:
Post a Comment