skip to main |
skip to sidebar
KAJALA ATAMANI KUMLIPA WEMA SH MIL. 13 ZAKE
Staa mrembo wa Bongo Movies, Kajala Masanja kwa mara ya kwanza ameibuka
na kutoa ya moyoni kuwa anatamani kulipa shilingi milioni 13 alizolipiwa
na staa mwenzake Wema Sepetu kama faini ili asiende jela miaka saba.
Akizungumza na mwandishi, Kajala alisema... kuwa huwa anaumia sana
kila anapokumbuka kuwa alipewa kiasi hicho chapesa ingawa uwezo wa kulipa
anao.
“Huwa nateseka sana kila ninapokumbuka kuwa nilitolewa 13 japokuwa
naaamini alitoka kwa mmoja,kinachoniuma muhusika anaiongelea kila siku
tena kwa mabaya,” alisema Kajala
0 comments:
Post a Comment