Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford amesema kamwe hatajutia kitendo cha kuachana na mumewe, Dickson. Akiongea Shamsa alisema kuwa kipindi chote wakati yupo kwenye uhusiano na mumewe huyu waliefunga naye ndiyo ya kimilia alikuwa akiteseka na kupata shuruba nyingi japo hakuwa tayari kuziweka hadharani. “Sijutii kuachana na mume wangu, nimepitia mateso mengi, sikotayari...
kurudi japokuwa nina motto naye” Shamsa alisema. Kwa sasa inadaiwa Shamsa anatoka na Staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego ambaye naye aliachana na mchumba wake ,Siwema hivi karubuni.
0 comments:
Post a Comment