Sunday, December 31, 2017
MBAO FC YAVIMBA YAONESHA UKOMAVU KWA YANGA SC
Klabu ya Yanga imefunga mwaka 2017 kwa kipigo kitakatifu kutoka kwa klabu ya Mbao FC ya jijini Mwanza kwenye mchezo wa mzunguuko wa 12 wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara.
Kipigo hicho cha magoli mawili nunge kimewafanya Yanga washuke hadi nafasi ya nne kutoka nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo mahasimu wao...
Labels:
HABARI & UDAKU
JE UNA TATIZO LA KUKOSA USINGIZI? BASI HII NDIYO TIBA YAKO
Hata hivyo wataalamu wanashauri kufanya vitu vifuatavyo ili kutengeneza mazingira mazuri ya kulala na kuepukana na tatizo la kukosa usingizi, Mambo ya kuzingatia ni...
Labels:
AFYA,
HABARI & UDAKU
HAMISA MOBETO AAMUA KUWA SINGLE NA KUWAACHA ZARI NA DIAMOND WAENDELEE
Ambapo kila mtu ameonyesha kusema ya kwake kwa upande wake na kutafsiriwa tofauti na vitu kama hivyo na mwisho wa siku watu wakatafsiri kuwa Diamond yupo upande wa Zari though alimkosea...
Labels:
HABARI & UDAKU
RAIS MSTAAFU AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MITATU JELA
Rais aliyeondolewa madarakani Jana December 30, 2017 amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela kwa tuhuma za kuvivunjia heshima vyombo vya mahakama.
Labels:
HABARI & UDAKU
JOSE MORINHO AFUNGUKA JUU YA HALI YA LUKAKU NA MUDA ATAKAO MKOSA
Jose Mourinho sasa amethibitisha kuwa atawakosa kwa muda mrefu kidogo Romelu Lukaku aliyeumia kwenye game ya jana dhidi ya Southampton na mshambuliaji wake Zlatan Ibrahimovic ambaye yupo...
Labels:
HABARI & UDAKU
RAPA AKA ATHIBITISHA KUACHANA NA MPENZI WAKE BONAG
Rapa kutoka Afrika Kusini, AKA na mrembo
mtangazaji maarufu, Bonang Matheba wameachana baada ya mahusiano yao ya
kimapenzi kudumu kwa taribani miaka miwili sasa.
Himaker huyo ya ngoma ya ‘All Eyes On Me’ mwenye umri wa miaka 29 ambaye ni mshindi wa tuzo kadhaa nchini humo alitangaza hilo la kuwa ameachana na Bonang kupitia mtandao wa twitter mapema jana asubuhi kwa kuandika “Myself and Bonang have decided to call it...
Labels:
HABARI & UDAKU
MAIMARTHA: HAMISA AACHE KUSHINDANA NA ZARI KWANI HAMUWEZI
Mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse ameibuka na kusema ataendelea kumfunda mwanamitindo Hamisa Mobeto ingawa amemjibu vibaya, kwani alichoamua ni kumshauri kwani anaona anakoelekea siko.
Maimartha alisema kuwa alimshauri Hamisa kuwa makini kwani kuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la Gal Power lililofanyika Uganda hivi karibuni halikuwa na hadhi yake na ilionekana yupo...
Labels:
HABARI & UDAKU
KAMPUNI YA APPLE YATANGAZA PUNGUZO LA BETRI ZA SIMU ZAO
Mtendaji
mkuu wa kampuni ya Apple, Tim Cook, amewaomba radhi wateja wake
kuhusiana na kwamba simu za kampuni hiyo hupungua nguvu za utendaji wake
kutokana na betri zinazoisha muda wake haraka.
Cook ameahidi kwamba, siku zijazo, Apple “itatoa kipaumbele zaidi kuhusiana na nguvu ya betri za simu aina ya iPhone” na kuwaacha watumiaji wake waone iwapo muda mrefu wa betri hizo utaathiri...
Cook ameahidi kwamba, siku zijazo, Apple “itatoa kipaumbele zaidi kuhusiana na nguvu ya betri za simu aina ya iPhone” na kuwaacha watumiaji wake waone iwapo muda mrefu wa betri hizo utaathiri...
Labels:
HABARI & UDAKU
EBITOKE: SINA MWANAUME MWINGINE ZAIDI YA BEN POL
Mchekesha kutoka kundi la Timamu, Ebitoke amefunguka uhusiano wake na msanii wa RnB Ben Pol ulivyo kwa sasa mara baada ya kupitia drama za hapa na pale.
Ebitoke amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio kuwa licha ya kutofautiana hapo awali kwa sasa mapenzi yao yanaendelea kama kawaida. “Hapana sijaachana naye, baada ya kulalamika kuwa hapokei simu yangu sasa...
Labels:
HABARI & UDAKU
WARUSI WAMFANYA DKT SHIKA KUKACHA DILI ZA KUFANYA MATANGAZO
Mtanzania Dkt. Louis Shika aliyejizolea umaarufu mkubwa hivi karibuni katika mitandao na vyombo vya habari ameeleza sababu ya kuacha kufanya matangazo ya kibiashara na kampuni mbali mbali.
Dkt. Shika amekiambia kipindi cha Weekend kuwa ameacha kufanya matangazo kwa kuhofiwa kufuatiliwa na maadui zake kutoka nchi ya Urusi alipokuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
BAADA YA KUDAI ANA PESA KUIZIDI SERIKALI ASKOFU KAKOBE KUCHUNGUZWA NA TRA
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itamchunguza kiongozi wa Kanisa la Gospel Bible Fellowship Church (GBFC), Askofu Kakobe kufuatia kauli yake iliyodai ana fedha nyingi kuzidi serikali.
Akizungumza Dar es Salaam na waandishi wa habari Kamishna Mkuu wa TRA, Charles Kichere amesema Tanzania kuna matajiri wengi ambao wanalipa kodi lakini hawana fedha za...
Labels:
HABARI & UDAKU
Saturday, December 30, 2017
STORY: MPAKA KIELEWEKE (Sehemu Ye Tatu) 03
Nilisogea mpaka zilipokua zile nguo nikazikagua na kugundua kweli zilikuwa nguo za mke wangu, tena zote mpaka za ndani. Niliogopa sana na kuanza kuhofia ambacho kilikuwa kimempata mke wangu kipenzi.
Wakati naendelea kumulika
nikaiona na funguo ambayo ndio chanzo hasa cha mimi kwenda eneo lile
wakati ule, nikaiokota pamoja na nguo za mke wangu na kuanza...
Labels:
HABARI & UDAKU,
LOVE & STORY
BARCA WAANZA KUHOFIA KUMPOTEZA SAMUEL UMTITI KTK DIRISHA DOGO LA USAJILI
Mchezaji huyo menye umri wa miaka 24 kwa sasa anauguza majeraha yake ya misuli Camp Nou tangu atue akitokea Lyon kwa pauandi milioni 25. Kwa mujibu wa Daily Mail, hata hivyo, vigogo wa...
Labels:
HABARI & UDAKU
MKENYA ALIYE MPAKAZIA MTOTO ALIKIBA SASA ADAI KUZAA NA DIAMOND
Mwanamke mmoja raia wa Kenya ameripotiwa kuweka kambi nje ya nyumba ya staa wa Muziki wa Bongofleva nchini Tanzania, Diamond Platinumz, akidai kuwa hapewi matunzo ya mtoto aliyezaa na msanii huyo.
Mwananmke huyo aliyejitambulisha kwa jina la Mama Pensheni Salama anayedai kuwa raia wa Kenya aliripotiwa kukesha yeye na mtoto wake nje ya nyumba ya Diamond, ikiwa ni jitihada za...
Labels:
HABARI & UDAKU
Dkt LOUIS SHIKA KUTIMKIA MAREKANI BAADA YA KUOPANDISHWA CHEO NA UNHCR
Dkt. Louis Shika ambaye amejipatia umaarufu baada ya kutangaza dau la
kununua nyumba za Lugumi, amesema kwamba hivi karibuni anatarajia kwenda
kusihi Marekani, baada ya Umoja wa Mataifa kumpandisha cheo.
Akizungumza kwenye kipindi cha Weekend Breakfast cha East Africa Radio, Dkt. Shika amesema awali alikuwa anafanya kazi kwenye shirika la Umoja wa Mataifa inlocshughulikia wakimbizi (UNHCR) na sasa amepandishwa cheo, hivyo hata...
Akizungumza kwenye kipindi cha Weekend Breakfast cha East Africa Radio, Dkt. Shika amesema awali alikuwa anafanya kazi kwenye shirika la Umoja wa Mataifa inlocshughulikia wakimbizi (UNHCR) na sasa amepandishwa cheo, hivyo hata...
Labels:
HABARI & UDAKU
MOHOMBI: DIAMOND PLATNUMZ ANAFANYA VIZURI KUIPUSH BONGO FLEVA
Mohombi yupo Bongo na jana alikuwa ktk Press Conference ya uzinduzi wa albamu ya Vanessa Mdee - MoneyMondays baada ya Press hiyo alipata nafasi ya kujibu maswali kadha wa kadha kutoka kwa waandishi wa Habari.
Msanii huyo wa kimataifa kutoka Sweden Mwenye asili ya Congo, Mohombi amesema muziki wa Tanzania unakua kwa kasi duniani. Ambapo amesema moja ya wasanii wanaofanya vizuri ni Diamond Platnumz. Msikilize alicho kisema hapa chini.
Play Here
Download
Labels:
Downloads,
HABARI & UDAKU,
Interview
SHILOLE: NATAMANI NA MIMI SIKU MOJA NIFANYE KAZI NA NICKI MINAJ
Msanii wa Bongo Fleva, Shilole amedai kuwa muziki wa Bongo Fleva kwa sasa unakua kwa kasi duniani na kuufanya muziki huo kubadilisha maisha ya Wasanii huku akimtaja Diamond Platnumz kama moja ya wasanii wanaopambana kukuza muziki huo.
Shilole amesema “Bongo Fleva inaenda mbali sana, hususani! tuseme ukweli Diamond anaipushi sana Bongo Fleva yetu, sikutegemea kama Diamond siku moja atafanya ngoma na...
Labels:
HABARI & UDAKU
PICHA: VANESSA NA MOHOMBI KWENYE PESS CONFERENCE YA MONEY MONDAYS ALBUM
Vanessa Mdee yupo mbioni kuachia album yake ya kwanza na siku ya jana ilifanyika press conference ya Albamu hiyo Hyatt_Kilimanjaro Jijini Dar Es Salaam na alikuwepo Mohombi ambaye ameshiriki ktk albamu hiyo kwenye moja ya Wimbo ambao unaonekana ni namba 13 ktk albamu ya Vanessa Mdee Money Mondays.
Tazama picha zaidi za Press Conference ilivyo kuwa hapa chini...
Labels:
HABARI & UDAKU
JUX: VANESSA MDEE ANANIPA SANA CHANGAMOTO NATAKA KUWA BOSI
Msanii wa muziki, Jux amedai yeye ni mmoja kati ya wasanii ambao wanapata changamoto kutoka kwa muimbaji, Vanessa Mdee ambaye ni mpenzi wake.
Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo, Utaniua, amesema mafanikio ya Vanessa na kujituma kwake ni kitu ambayo kinamuumiza kila...
Labels:
HABARI & UDAKU
BROWN APIGWA CHINI NA JACQUELINE WOLPER
Mrembo mjasiriamali kutoka Tanzania, Jacqueline Wolper ameondoa utata ulokuwepo juu yake na kijana mjenga misuli na mwanamitindo kutoka Tanzania anayejulikana kwa jina maarufu la Brown.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Wolper ametoa taarifa za kuwa
ameingia katika penzi zito na mtu ambaye hayuko katika mitandao na
utaratibu wa kutembelea kwa wazazi na hatua za...
Labels:
HABARI & UDAKU
SHETTA ATOA WOSIA MZITO KWA MWANAE QAYLLAH AJILINDE
STAA wa muziki wa Bongo
Fleva na hitmaker wa ngoma ‘Vumba’ iliyomshirikisha G Nako, Nurdin Bilal
Ali a.k.a Shetta amemimina maneno yenye wosia kwa mwanae wa kike,
Qayllah Nurdin Bilal kujichunga na wanaume walaghai wenye nia ya
kuamuharibia maisha katika siku za usoni.
Shetta anayezidisha mapenzi kwa mwanae huyo, alizma kwenye ukurasa wake wa Instagram na kushusha maneno hayo yenye wosia mkubwa kwa kuandika “Mwanangu Najua kuna watu wanakusubiri subiri ukue kue walete...
Shetta anayezidisha mapenzi kwa mwanae huyo, alizma kwenye ukurasa wake wa Instagram na kushusha maneno hayo yenye wosia mkubwa kwa kuandika “Mwanangu Najua kuna watu wanakusubiri subiri ukue kue walete...
Labels:
HABARI & UDAKU
Friday, December 29, 2017
HIZI NDIYO FAIDA 15 MWILINI ZIPATIKANAZO KUPITIA LIMAU
Faida za limau au ndimu zinajumuisha matumizi kama tiba kwa ajili ya
vidonda vya kooni, matatizo katika mmeng’enyo wa chakula, matatizo ya
meno, homa, kuvuja damu ndani ya mwili, baridi yabisi, kutibu
malengelenge, uzito kupita kiasi, matatizo katika mfumo wa upumuwaji,
kipindupindu na shinikizo la juu la damu. Pia ni dawa nzuri kwa ajili ya
nywele na ngozi.
Tangu karne nyingi limau linajulikana kama dawa, husaidia pia kuongeza
kinga ya mwili, kusafisha tumbo na hujulikana pia kwa kazi yake nzuri ya
kusafisha...
Labels:
AFYA,
HABARI & UDAKU
HARUSI YA DIAMOND NA ZARI KUGHARIMU DOLA MILIONI 2
Harusi ya Diamond na Zari The Bosslady huenda ikafanyika mwakani, kwa mujibu wa Mama Tee. Na tena inaweza kuwa moja ya harusi za kifahari zaidi kuwahi kufanyika Afrika.
Kupitia Instagram, shabiki mmoja alicomment na kumwambia anasubiri nini kufunga ndoa na Mondi, naye akajibu, “2018 baby.. no rush, its gonna be planned and...
Labels:
HABARI & UDAKU
EBITOKE: NIMEPATA NYUMBA NA GARI KUPITIA UCHEKESHAJI
Msanii wa vichekesho hapa bongo Ebitoke, amesema kazi anayoifanya ya kuchekesha imempa mafanikio makubwa kwa muda mfupi, ikiwemo kumiliki mali zake mwenyewe, Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Ebitoke amesema kupitia sanaa hiyo ameweza kumiliki nyumba yake mwenyewe pamoja na gari ya kutembelea.
“Hii kazi ninayofanya imenipa mafanikio sana, ingawa watu wananiona mpaka mafuta, mpaka sasa hivi nina nyumba yangu mwenyewe, na nyumba sio peke yangu ipo ya kwangu na...
Labels:
HABARI & UDAKU
WOLPER AANZA KUSAKAMWA JUU YA MAVAZI YAKE YA KIUME
Wanadamu hawana dogo kwani wameanza kumsakama nyota
wa filamu nchini, Jacqueline Wolper, wakidai amerudia tabia ya kuvaa
mavazi ya kiume ambayo yanawakera na badala yake kumtaka avae magauni
marefu kwani ndio yanayompendeza.
Wolper ameonekana katika maeneo tofauti akiwa amevalia mavazi hayo ya kiume tofauti na magauni yake marefu ambayo alikuwa akitoka nayo. Mashabiki wake hao wametoa maoni yao katika...
Wolper ameonekana katika maeneo tofauti akiwa amevalia mavazi hayo ya kiume tofauti na magauni yake marefu ambayo alikuwa akitoka nayo. Mashabiki wake hao wametoa maoni yao katika...
Labels:
HABARI & UDAKU
STORY: NALIA NA NAFSI YANGU (Sehemu Ya 14) - 14
Sehemu ya 14
Mimi nina hakika mtoto mzima kabisa", alimbembeleza mke wake, waliendelea kubembelezana mpaka asubuhi ilipofika, Baraka alikua wa kwanza kuamka ili kufanya mawasiliano na Mark na kumueleza kuwa wanaenda mjini.
Mark aliwakaribisha sana kisha mama Prisca aliamka na safari ilianza, walipanda gari na kuelekea mjini, haikuchukua masaa mengi wakawa wamefika mjini, Mark alifika stendi kuwapokea na...
Labels:
HABARI & UDAKU,
LOVE & STORY
STORY: MPAKA KIELEWEKE (SEHEMU YA PILI) 02
SEHEMU YA PILI
“Kijana hebu tueleze hali ambayo imetokea pengine tunaweza kusaidiana mawazo na jambo likawa jepesi” aliongea mzee mmoja wa makamo ambaye sikumfahamu ila moja kwa moja nikajua Mangi alimuita ili kuja kusaidia baada ya kuniona katika hali ile isiyoeleweka.
Nilijikaza nikawasimulia mkasa uliotokea, wakati naendelea kuongea watu walikuwa wanazidi kuongezeka mpka namaliza kuongea kulikuwa na...
Labels:
HABARI & UDAKU,
LOVE & STORY
KURA ZA MASHABIKI ZAMSAJILI HARRY KANE REAL MADRID
Mashabiki wa klabu ya soka ya Real Madrid wameonyesha hamu kubwa ya kumuona mshambuliaji hatari wa Tottenham Spurs, Harry Kane akivaa jezi wa timu yao badala ya Neymar wa PSG kama habari nyingi zinavyozungumzia usajili wake.
Kwa mujibu wa kura zilizopigwa kupitia gazeti la Hispania la Marca, asilimia 34 ya kura zilizopigwa na mashabiki hao zimeutaka uongozi wa timu hiyo...
Labels:
HABARI & UDAKU
TUNDU LISSU AWATOA HOFU WATANZANIA ASEMA MANENO HAYA
tundulissutz>>>Ninawashukuru kwa sala na maombi yenu. Sasa ninaweza...
Labels:
HABARI & UDAKU
RONALDO DE LIMA AMPA ONYO PHILIPPE COUTINHO KUJIUNGA NA BARCELONA
Aliyekuwa mshambuliaji hatari wa timu ya taifa ya Brazil na vilabu vikubwa vya Ulaya, Ronaldo Luís Nazário de Lima amemuonya kiungo wa Liverpool, Philippe Coutinho kuhusu kujiunga na Barcelona.
Coutinho ambaye amekuwa akiwindwa na vinara hao wa La Liga tangu msimu uliopita, ameambiwa na Ronaldo kuwa Barca ni timu ambayo imekuwa na matatizo makubwa na...
Labels:
HABARI & UDAKU
ZARI: MIMI NI CHANGUDOA MZEE MWENYE MAFANIKIO
Baada ya Hamisa Mobetto kumtibua upya mama watoto wa Diamond, Zari The Boss Lady ikiwemo kumuita mcheza picha chafu, Zari ajibu mapigo tena. Mobetto ambaye alikuwa nchini Uganda weekend iliyopita kwaajili ya show ya Girls Power, alimtupia dongo Zari na kumuita mcheza picha za uchi.
Alhamisi hii Zari ameamua kumtolea uvivu Mobetto kwa kuandika ujumbe mkali mfululizo kupitia mtandao wa snapchat. “Bora mimi changudoa mzee niliye na mafanikio na bado ananipenda kuliko...
Labels:
HABARI & UDAKU
CALISAH AFUNGUKA KULIPWA MILION 7 ILI AVAE VIATU VYA KIKE
Mwanamitindo Calisah amesema moja vitu vilivyomuigizia fedha nyingi zaidi kwa mwaka huu, 2017 ni kutangaza biashara ya viatu vya kike ambayo alivivaa kabisa.
Mwanzoni mwa October mwaka huu Calisah aliibua gumzo kwenye mitandao ya kijamii mara baada ya kuonekana akiwa amevaa viatu hivyo. Akizungumza na Planet Bongo ya EA Radio amesema...
Labels:
HABARI & UDAKU
HATIMAYE JACQUELINE WOLPER KUINGIA KWENYE MAISHA YA NDOA
Msanii wa filamu Bongo na mwanamitindo, Jacqueline Wolper huenda akafunga ndoa hivi karibuni mara baada ya kuweka wazi mipango yake ya kwenda kumtambulisha mpenzi wake kwa wazazi wake.
Licha ya kutomtaja muhusika, Wolper ameeleza kuwa mpenzi wake huyo ameridhia suala hilo kwani naye pia alikuwa akilihitaji toka mwanzo. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Wolper ameandika...
Labels:
HABARI & UDAKU
RAYVANNY AFUNGUKA FAHYMA SIKUKUPATA BAHATI MBAYA
Hivi karibuni kulikuwa na drama za hapa na pale kuwa msanii wa muziki Bongo, Rayvanny ameachana na Baby Mama wake, Fahyma lakini hilo limekuja kuonekana kutokuwa na ukweli wowote mara baada ya msanii huyo kutoa video ya wimbo wake ‘Safari’ ambapo ndani yupo Fahyma.
Licha ya video hiyo kuthibitisha kuwa penzi bado lipo pale pale, Rayvany pia amepigilia msumari katika hilo. Kupitia ukurasa wake wa Instagram amendika...
Labels:
HABARI & UDAKU
Monday, December 25, 2017
Story: MPAKA KIELEWEKE (Sehemu Ya Kwanza) 01
SEHEMU YA KWANZA
Nilikuwa nimeongozana na mke wangu tukitokea dukani eneo
lile la ugenini. Nikiwa ‘busy’ kwenye simu yangu huku nikiongea na mke
wangu ambaye alikuwa nyuma yangu akinisemesha hili na lile.
Mara nikagundua hali isiyo ya kawaida, mke wangu alikuwa kimya ghafla. Nikageuka haraka kutaka kujua nini kilimfanya awe kimya namna ile, lakini cha ajabu sikumuona mke wangu. “Khaaa...
Labels:
HABARI & UDAKU,
LOVE & STORY
Subscribe to:
Posts (Atom)