Hatimaye Vanessa Mdee ameachia kava la albamu yake mpya aliyoipa jina la ‘Money Mondays’ ambayo bado haijatoka.
Vee Money ameonyesha kava hilo kupitia mtandao wake wa Instagram na kuthibitisha hiyo ndio yenyewe kwa kuandika, “This is the...
official album cover #MoneyMondaysTheAlbum 🙌🏽🙏🏾💫💫⁉️❗️🎁⁉️⁉️💜👩🎤 .”
Wakati akiongea na Bongo5 Jumanne hii, msanii huyo alisema albamu yake hiyo mpya itakuwa na nyimbo 18.
0 comments:
Post a Comment