Tuesday, December 19, 2017
AMBER LULU: USIMFANANISHE MUME WANGU NA YOUNG D HUKO NI KUMKOSEA ADABU
Msanii wa muziki Bongo, Amber Lulu amedai mpenzi wake Prezzo asifananishwe na Young Dee, Amber Lulu amesema hao ni watu wawili tofauti hivyo kuwafaninisha ni kumkosea heshima Prezzo.
“Usimfananishe mume wangu na watu wengine kwa sababu unakuwa unamkosea adabu, kwa hiyo Young Dee na Prezzo usiwaweke kabisa pamoja kwa sababu ni...
watu wawili ambao hawezi kuendana hata kidogo,” Amber Lulu amefunguka.
Pia Amber Lulu ameongeza kuwa mara baada ya kuachana na Young Dee hata tattoo yake aliyokuwa ameichora mkononi aliifuta kwani aliiweka kwa muda tu.
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment