Shilole amesema “Bongo Fleva inaenda mbali sana, hususani! tuseme ukweli Diamond anaipushi sana Bongo Fleva yetu, sikutegemea kama Diamond siku moja atafanya ngoma na...
Rick Ross sijui na akina Ne-Yo nilikuwa nikiona tuu tutafika huku? lakini tumeanza kujaribu na tunafika..Natamani na mimi siku moja nifanye kazi na Nicki Minaj.“amesema Shilole kwenye mahojiano yake na BBC Swahili.
Shilole ambaye yupo nchini Uingereza alikoenda kutumbuiza kwenye show maalumu amesema kuwa show za nje ya nchi siku hizi zinalipa tofauti na zamani.
0 comments:
Post a Comment