“Nisiongope hilo suala na kila siku namuomba Mwenyenzi Mungu anisaidie, kusema ukweli dah! tangu huu mwaka umeanza...
sijavaa kodomu,” Calisah ameiambia FNL ya EATV.
“Mimi kama mfano wa kuigwa si kamba napotosha watu, ni kwamba nimekosea nasema kwa kijifunza lakini inshallah sitarudia tena hayo makosa kwa sababu magonjwa ni mengi,” amesema.
Hivi karibuni Calisah alishindwa kushiriki mashindano ya Mister Africa International yaliyofanyika Lagos Nigeria, licha ya kutumiwa barua ya mwaliko.
0 comments:
Post a Comment