Sunday, December 24, 2017
FAHAMU NJIA ZINAZO TUMIKA KUTIBU TATIZO LA GANZI MWILINI
Tatizo la kupatwa na ganzi linaweza kumtokea mtu yoyote katika miguu na mikono. Hii ninamaanisha ni kukosekana kwa fahamu katika sehemu hizo, hisia ndiyo inakosekana sababu kunakuwa hakuna damu na neva zinakosa mawasiliano ya moja kwa moja na ubongo.
Chanzo cha kupatwa na ganzi ni:-
1. Shinikizo la muda mrefu kwenye miguu na mikono
2. Kuwa karibu na...
vitu vyenye baridi sana kwa kipindi kirefu
3. Kunywa pombe kupita kiasi
4. Uvutaji wa sigara na bangi
5. Uchovu sugu
6. Kutokujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara
Matibabu ya Ganzi ni pamoja na:-
Massaji:- Fanyia masaji mwili wako mara kwa mara ilikuondoa uchovu na kujiweka sawa mwili.
Mazoezi:- Pendelea kufanya mazoezi ya viungo mara kwa mara kwani husaidia kushitua mishipa iliyo lala.
Tumia Mdalasini:- Pendelea kula vyakula vyenye Vitabini B na vilivyowekewa mdalashini kwani inasiadia katika mwilili hii ni kwa sababu kiungo hicho inakemimkali zinazoweza kutibu tatizo hilo.
Labels:
AFYA,
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment