
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli amefika nyumbani kwake katika kijiji cha
Mlimani, Wilaya ya Chato Mkoani Geita kwa mara ya kwanza tangu
achaguliwe kuwa Rais, ambapo akizungumza na wananchi katika mkutano wa
hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya sekondari Chato, ametoa
wito kwa kila mtanzania kuchapa kazi kwa juhudi ili nchi iondokane na
utegemezi wa misaada ya wafadhili ambayo...