“Watu wanamtukuza sawa lakini watuweke stage moja tuone nani atakamua, unajua tuseme ukweli bongo flava sasa mimi na Diamond ndio wapinzani pekee,” alisema Juma Nature. Aliongeza, “Watu waandae pambano, na...
mpunga pia uwepo nioneshe na mimi nguvu yangu ilivyo mtaani,” Nature amesema anaamini muziki wake aliyokuwa anafanya zamani una nguvu kubwa kuliko huu wa wasanii wa sasa.
0 comments:
Post a Comment