Kupitia Magic Fm jana Alikiba alisema kuwa amebadili uongozi wake na baadhi ya watu hawatokuwepo kabisa. Ukitaka kujua nimebadili ngoja uone kwa sasa mambo yatakavyokuwa fans
wangu wanataka bampa to bampa sasa nitakuwa natoa ngoma shabiki zangu
wanavyotaka” alisema KibaVugu vugu la kubadili uongozi lilianza kwa mashabiki ambao walisema kuwa uongozi huo unamchelewesha vitu vingi ikiwemo...
ku-promote kazi zake.
Pia Kiba amesema amefurahishwa na ujio wa Lady Jaydee katika uongozi mpya ambao pia wata simamimiwa na rockstar4000, kiba amesema atafaidika sana na Jay de haswa kutokana na ukongwe wa msanii huyo.



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment