skip to main |
skip to sidebar
HIZI NDIYO SABABU ZA ROMA KUTO MPOST MCHUMBA WAKE MITANDAONI
Msanii wa Hip Hop Tanzania,Roma amefunguka kuwa huwa hapendi kumpost
mpenzi wake kwenye mitandao ya kijamii kwa kuhofia kuwa inaweza
kumharibia biashara yake muziki. Roma anaamini kuwa kuna mashabiki wengi na kila mtu anapenda kitu fulani
kutoka kwa msanii sio nyimbo tu, wengine hata kukupenda kimapenzi kwa
hiyo kumpost mpenzi wako kila mara inaweza... kuwafukuza mashabiki wa namna
hiyo.
“Sometimes kumpost sana unaharibu biashara yako hasa hii ya sanaa
yetu,mashabiki wanakuja kwenye show yako sio tu kwa sababu ya ngoma
zako,kila mtu anachokipenda kwako...” alisema Roma ambaye amewahi
kumpost mpenzi wake mara moja toka ajiunge instagram.
0 comments:
Post a Comment