skip to main |
skip to sidebar
NAJMA ATOA UFAFANUZI KUHUSU UHUSIANO WAKE NA BARAKAH
Msanii bongo fleva Naj amevunja ukimya na kusema kuwa yeye hana mahusiano
yoyote ya kimapenzi na msanii Baraka da Prince.
Hatua hiyo imekuja baada ya kuenea habari kuwa anatoka kimpenzi na msanii
huyo na kusisitiza kuwa Baraka ni rafiki yake wa karibu na hakuna zaidi.
“Mimi baraka ni mchizi wangu wa karibu sana hakuna mapenzi kati yetu, ila
siwezi kubadilisha mawazo ya...
watu kwa sababu wameshafikiria wanavyojua wao”
alisema Naj na kuongeza toka aanze urafiki na baraka wana kama mwezi.
0 comments:
Post a Comment