skip to main |
skip to sidebar
PICHA YA GARI ALILO PIGIA PICHA DIAMOND NA HUDDAH YAZUA MASWALI
Nchini Kenya limeibuka swali la je Diamond Platnumz alikutana na Huddah Monroe alivyokuwa Las Vegas hivi karibuni? Swali hili limeibuka baada ya picha inayoonyesha gari aliyopanga Diamond
likiwa kwenye picha aliyopiga Huddah Monroe ambaye alikuwa Sin City
kwenye... tamasha kubwa huko Las Vegas Hotel & Casino.
Diamond Platnumz na Huddah Monroe walipoz kwenye gari moja ambayo imeonekana kuwa na Rim zilizofanana.
0 comments:
Post a Comment