skip to main |
skip to sidebar
JINSI WEMA ALIVYOPAMBA MSAFARA WA KUMPOKEA LULU
Kwa Mara ya Kwanza toka habari za ujauzito wa Wema kutoka Jana
Amejitokeza hadharani kumpokea rafiki yake Lulu Michael Alipowasili
kutoka Nigeria akiwa na tuzo mkononi. Wema Alipendeza Sana na kuonekana
mwenye furaha muda wote wa msafara. Tazama hapa...
0 comments:
Post a Comment