Baada ya kutamba kuwa tayari amepata mume wa maisha, mambo yameharibika
msanii wa filamu Rayuu, kwani sasa hatoki nje wale hapokei simu za shoga
zake. Wiki moja iliyopita msanii huyo aliiteka mitandao ya kijamii hasa
instagram, kwa picha zake za harusi huku akiwa na bwana ake ambaye sasa
si bwana tena.
Chanzo kikubwa cha kuvunjika kwa ndoa hiyo inadaiwa kuwa mwanaume ambaye
alimuoa ni mume wa mtu, ambaye tayari mke wake ana ujauzito wa miezi
mitatu, lakini pia inadaiwa kuwa ni...
kutokana na matukio kadhaa ya msanii
huyo.
Rayuu alitafutwa ili kujibu tuhuma za kuachika, alijibu yote ni matokeo
na kuachika kwake isiwe sababu ya yeye kusemwa kwenye mitandao ya
kijamii.
“Sina muda wa kuzungumzia mambo hayo kwani nilipofunga ndoa sikusema,
sitaki nasema sitaki, maana watu wanaona ni jambo la kuzungumzwa mbona
wapo wanaoolewa kifahari na wanaachika,” alisema kwa ukali kisha akakata
simu.
Saturday, March 5, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment