Mrembo Gigi Money anaishi maisha ya serikali yake mwenyewe, Sheria zake mwenyewe na maamuzi yake mwenyewe na hili ndiyo limemfanya aendelee kuwa Controversial kwenye insta na watu wamemzoea hivyo na hilo ndilo linalompa kiki na kuzidi kujulikana.
Na sasa ameamua kumwaga radhi kwa kupost picha hizi hapa chini...
0 comments:
Post a Comment