Pages

Subscribe:

Tuesday, September 12, 2017

SAUTI SOL WASHEREHEKEA KUVUNJA REKODI INSTAGRAM



Hakuna ubishi kuwa Sauti Sol ni kundi linalofanya muziki mzuri Afrika. Ubora wa nyimbo zao ndio umewafanya kiasi ambacho wiki hii wamefikisha followers milioni 1 kwenye mtandao wa Instagram.

Baada ya kufanikiwa kuongeza idadi hiyo, wasanii hao kupitia mtandao wa Twitter wamesherekea kwa kuandika, “#Goodmorning Apparently we’re the first Kenyan...
musicians to reach a million legit followers on @instagram . Damn it’s hard outchea. .”

Kwa hatua hiyo kuna uwezekano mkubwa mpaka sasa kundi hilo ndio likawa la kwanza kuwa na idadi kubwa ya followers katika mtandao huo.
Wasanii hao kwa sasa wapo kwenye ziara ya show zao nchini Ujerumani na Ubelgiji.

0 comments:

Post a Comment