“Mimi label yangu ni changa hata mwaka jana nilisema nitatambulisha wasanii, mwakani nitamtoa (Mula) na nitaanza...
kuchukua chapa nyingine na in fact nimesema nahitaji wasanii wa kike sana, nahitaji wa kike watatu tu” amesema Barnaba.
“Kwa hiyo wa kiume atabaki Mula pekee na ni sababu ya msingi sana wanaume tupo wengi sana, halafu nimeamua kufanya hivyo kwa sababu mimi ni mwandishi mara nyingi nyimbo zangu zinawiana kwa mabinti na nimeamua kuja hivyo, am sure mtu kama Diamond ameshasaidia sana” ameongeza.
0 comments:
Post a Comment