Official Dj wa msanii Diamond Platnumz ‘Romy Jons’ amefunga ndoa. Ndoa hiyo ilifungwa jana December Mosi na kuhudhuriwa na watu wake wa karibu akiwemo Diamond mwenyewe pamoja na Zari The Boss Lady. Picha zaidi hapa chini...
Photo Credit: WCB Wasafi Instagram
0 comments:
Post a Comment