skip to main |
skip to sidebar
ESHA BUHETI: WATOTO NI WANGU MSINIPANGIE JINSI YA KUISHI
Diva anayebamba vilivyo kwenye tasnia ya Bongo Muvi, Esha Buheti ambaye ni mama wa watoto wawili, Clarrisa na Crilbell, ametoa povu la kimataifa, kwa wale wote wenye tabia ya kumpangia jinsi ya kuishi na watoto wake.
“Inavyoonekana Esha kuna watu wanamchokonoa
kuhusu watoto wake, maana huyu dada siyo mtu wa kuchamba, sasa...
sijui
imekuwaje tena,” ilisomeka sehemu ya comments kwenye posti yake hiyo katika ukurasa wake wa Instagram.
0 comments:
Post a Comment