Wednesday, August 31, 2016
SALLAM: KIDOGO IKIFIKISHA VIEWS MIL. 5 TUNAACHIA MZIGO MWINGINE
Video ya wimbo wa Diamond aliowashirikisha P-Square ikifikisha views milioni 5, ingine itatoka, kwa mujibu wa meneja, Sallam Sharaff. Tayari video hiyo imefikisha views milioni 4. Kupitia Instagram, Sallam ameandika...
Labels:
HABARI & UDAKU
BELLE 9: ALBUM YA VITAMIN MUSIC ITAVUNJA REKODI YA MICHAEL JACKSON
Msanii wa muziki wa R&B kutoka Morogoro, Belle 9 amesema albamu yake mpya ‘Vitamin Music’ itavunja rekodi mbalimbali za dunia. Muimbaji huyo amedai albamu hiyo itavunja rekodi zilizoachwa na manguli wa muziki duniani, Michael Jackson na Bob Marley.
“Albam yangu ya Vitamin Music itakuwa ni albam ya tofauti, itakuwa na vitu vingi fantastic, itakuwa na jumbe tofauti tofauti, kutakuwa na mada tofauti tofauti za mapenzi, maisha, hustling na pia ‘angle’ nyingi ambazo...
Labels:
HABARI & UDAKU
YCEE: KIDOGO YA DIAMOND INAPIGWA KILA BAADA YA DK 20
YCEE anayetamba na wimbo wake wa ‘Omo Alhaji’ mekiambia kipindi cha The Cruise cha East Africa Radio kuwa wimbo wa Kidogo wa Diamond aliowashirikisha P-Square umekuwa ukichezwa zaidi kwenye vituo vya radio na runinga za nchini humo inawezekana ikawa ni...
Labels:
HABARI & UDAKU
JAH PRAYZAH ASHEREHEKEA KUFIKISHA VIEWS MILLION 1 YOUTUBE
Hii ni video ya kwanza ya staa huyo kufikisha viewers Million 1 ndani ya muda mchache zaidi. Wimbo huo ulipotoka mashabiki wa Zimbabwe waliomba...
Labels:
HABARI & UDAKU
BELLE 9 ATAJA COLLABLE MPYA ZA DIAMOND MOJA KAFANYA NA FRENCH MONTANA
Labels:
HABARI & UDAKU
TCRA: MIAKA 20 JELA KWA ATAKAYE POST PICHA ZA UTUPU (UCHI) MTANDAONI
“Ni vyema wananchi wakatambua kwamba uchochezi kwenye mitandao kwa kusambaza ujumbe wenye viashiria vya uvunjifu wa amani au kuweka picha zisizofaa kwenye mitandao sheria ipo wazi na watu watajikuta wanaishia pabaya, hivyo...
Labels:
HABARI & UDAKU
SERIKALI YAPIGA MARUFUKU MASHINDANO YA BIG BOOTY
Tangazo la shindano hilo maarufu kama “Miss Bim-Bim” lililoonyesha wanawake wawili wenye makalio makubwa sana, lilizua...
Labels:
HABARI & UDAKU
AFANDE SELE ASHIKILIWA NA POLISI
Afande
Rapper huyo ambaye ni mwanasiasa na aligombea ubunge kupitia cha ACT Wazalendo katika uchaguzi uliyopita, amedai yupo...
Labels:
HABARI & UDAKU
FAIZA ALLY: NAPENDA KUVAA NUSU UCHI
Labels:
HABARI & UDAKU
Monday, August 29, 2016
WCB KUFUNGUA OFISI MPYA KIJITONYAMA
Label ya WCB Wasafi ya Diamond Platnumz inafungua ofisi mpya Kijitonyama jijini Dar es salaam ambayo itakuwa inajihusisha na masuala ya kiuongozi zaidi. Akiongea katika kipindi cha Clouds E cha Clouds TV Jumatatu hii, mmoja kati ya viongozi wa juu wa label hiyo, Sallam, amesema wanafungua ofisi mpya ili...
Labels:
HABARI & UDAKU
CHUCHU HANS: NIKIWA NA RAY NAHISI KAMA DUNIA YOTE YANGU
Miss Tanga mwaka 2005, Chuchu Hans amesema kuwa ndani ya mahusiano ya kimapenzi na staa wa filamu, Ray Kigosi anajiona kama dunia yote ni yake.
Muigizaji huyo amesema anajisikia furaha sana jinsi anavyoishi kwa kusikilizana na mpenzi wake huyo.
“Nikiwa na Ray wangu, huwa nahisi kama dunia yote ni yangu, Ray ananidekeza sana,”Chuchu alimwambia mwandishi.“Ana mapenzi ya kweli, ananipenda mimi na watoto...
Labels:
HABARI & UDAKU
PENZI LA RIHANHANNA LAMZUZUA DRAKE AJIKUTA AKIWEKA BANGO NJIANI
Labels:
HABARI & UDAKU
DULLY SYKES: WAZARAMO NDIYO WENYE MUZIKI WA SINGELI
Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Dully Sykes amesema muziki wa singeli unatokana na muziki wa mchiriku ambao ulikuwepo hapo zamani, ambao ulikuwa ukipigwa na...
Labels:
HABARI & UDAKU
BARAKAH DA PRINCE X ALIKIBA NISAMEHE KUANZA KUONYESHWA MTV BASE
Labels:
HABARI & UDAKU
SHAMSA FORD KUFUNGA NDOA IJUMAA WIKI HII
“Kweli bhana Ijumaa hii Mungu akipenda nafunga ndoa,” alisema Shamsa Ford. Miezi mitatu iliyopita mfanyabiashara huyo alikiri kuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
DIAMOND AWEKA REKODI YA PEKEE MERU NCHINI KENYA
Labels:
HABARI & UDAKU
Monday, August 22, 2016
TAZAMA PICHA ZA WIZKID AKIWA NA MASTAA MBALI MBALI WA BONGO
Tazama nyingine hapa...
Labels:
HABARI & UDAKU
MAUA SAMA ATAMANI KUZAA MAPACHA
Msanii wa muziki Maua Sama amesema kuwa kama atapata mwanaume sahihi wa kuzaa naye basi angependa kuzaa watoto mapacha. Muimbaji huyo anayefanya vizuri na wimbo ‘Mahaba Niue’ amedai kuwa angependa familia yake iwe na watoto wawili au watatu.
“Nikipata mume, nataka nizae watoto wawili au watatu siyo mbaya, kwa sababu anapenda sana nipate wakiume na kike, nikipata pacha...
Labels:
HABARI & UDAKU
DIAMOND AENDELEA KUMPA ZARI SIFA KEDEKEDE
Ukiwa na Mwanamke Mzuri, Superstar, Ambae shilingi Mia miambili haimpigi
chenga, Halaf ana akili, Akakuzalia Mtoto wa kike’‘Halaf mtoto nae
Star, halaf akawa na Mimba yako Nyingine ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
LADY JAYDEE ANONEKANA KWENYE JARIDA LA TRUE LOVE
Muimbaji nguli wa muziki Tanzania, Lady Jaydee amekava jarida maarufu la wanawake, mahusiano, maisha na mitindo, True Love la Kenya. Jarida hilo hupatikana Kenya, Uganda, Tanzania na Rwanda.
Kwenye jarida hilo la mwezi huu, Jaydee amefunguka kuhusu sababu za kuachana na mume wake, Gardiner G Habash, kutamani kwake kufanya kazi na Usher na kwanini hawezi kujichubua.
Labels:
HABARI & UDAKU
RUBY AIKACHA SHOW YA FIESTA KISA MASLAHI
Hivi Ndivyo mtandao huo ulivyoandika Exclusive Ruby Amezungumza mengi ila kati ya machache ni "Maslahi yamenifanya nisiende kwenye Fiesta, Kisa ni Clouds ndio nisiwe free na kuongea, end of the day it's not about clouds it's about my future. Katika shindano la...
Labels:
HABARI & UDAKU
Saturday, August 20, 2016
DIAMOND: NIMESHWA WAHI KUWAUZIA NGUO ALIKIBA NA BOB JUNIOR
Msanii Diamond Platnumz anasema kabla hajatoka kimuziki alikuwa anafanya biashara ya kuuza mitumba na biashara hiyo ndiyo iliweza kumkutanisha na 'Producer' Bob Junior ambaye aliyetengeneza kazi zake za kwanza ambazo zilimtambulisha kwa watanzania.
Diamond Platnumz alisema hayo kwenye kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio na kudai kuwa yeye alikuwa anapenda sana kumuonyesha onyesha nguo Bob Junior na wenzake ili aweze...
Labels:
HABARI & UDAKU
KASSIM: UKIMYA WA TIP-TOP UNANIUMIZA
Msanii Kassim Mganga ambaye awali alikuwa ni moja kati ya wasanii kutoka katika kundi la Tip Top Connection amesema ukimya wa kundi hilo unamuumiza na kumgusa sababu yeye bado ni mwanafamilia wa Tip Top Connection licha ya kutofautiana kibiashara.
Kassim Mganga akiwa kwenye kipindi cha Planet Bongo alisema yeye bado ni mwanafamilia wa Tip Top Connection hivyo alikuwa anapenda...
Labels:
HABARI & UDAKU
FID Q KUACHIA ALBUM YAKE MWISHONI MWA MWAKA HUU
Ni takriban miaka miwili sasa, Fid Q amekuwa akiahidi kutoa album yake Kitaaolojia, lakini sasa huenda akaitimiza mwishoni mwa mwaka. Akiongea na mtangazaji wa Jembe FM, JJ, Fid amedai kuwa Kitaaolojia inaweza kutoka November au...
Labels:
HABARI & UDAKU
CAMERA ZAMNASA ISABELA AKILA BATA NA EX WA AUNT EZEKIEL
Aliyekuwa mpenzi wa msanii wa filamu Aunty Ezekiel, Jack Pemba ameonekana akila bata nchini Uganda na aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Luteni Karama, Isabela Mpanda. Muimbaji huyo wa Kundi la Scorpion Girl pamoja na wenzake wapo...
Labels:
HABARI & UDAKU
EATV WATANGAZA VIPENGELE 10 VYA TUZO ZA EATVAWARDS 2016
Vipengele hivyo ni...
Labels:
HABARI & UDAKU
WEMA AWAPA SIFA ZARI NA TIFFA WA DIAMOND
Kutokana na Wema kujumuika na vijana wa himaya ya WCB, kumezuka tetesi kuwa huenda ukaribu kati ya muigizaji huyo na Diamond unaweza ukawa ni zaidi ya maex wawili walioamua...
Labels:
HABARI & UDAKU
Friday, August 19, 2016
MBWANA SAMATTA AZIDI KUNG'ARA MICHUANO YA KUFUZU EUROPA
Mtanzania Mbwana Samatta ameendelea kung’a barani Ulaya kwa kupachika mabao baada ya jana kuifungia bao timu yake ya Genk, na kiwezesha kupata sare ugenini dhidi ya NK Lokomotiva ya Croatia.
Katika mchezo huo uliopigwa katika dimba la Stadion Maksimir nchini Croatia ulimalizika kwa sare ya mabao 2-2 ambapo Genk ndiyo waliokuwa wa kwanza kupata mabao yao kupitia kwa Leon Bailey dakika ya 35 na Mbwana Samatta dakika ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
DNA: MR. NICE NI MKALI WA WAKALI AFRIKA MASHARIKI
'Rapa' DNA kutoka nchini Kenya amefunguka kile ambacho watu wengi wanakitilia mashaka, kuhusu msanii wa muziki wa kizazi kipya Lucas Mkenda, au Mr. Nice na uwezo wake kwa sasa kwenye game.
Akizungumza
kwenye The Cruise, DNA amesema Mr. Nice ni msanii
mkali kwa Afrika Mashariki, kwani amefanya...
Labels:
HABARI & UDAKU
JUX: MUONEKANO WANGU UNANISAIDIA KWENYE MUZIKI
Msanii Jux ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa 'Wivu' amefunguka na kusema muonekano wake pamoja na mavazi yake yamemsaidia kumuweka mahali fulani katika kazi yake ya muziki.
Juma Jux alisema na kudai kuwa alitambua kuwa muonekano unaweza kumsaidia katika muziki ndiyo maana kabla ya kutoka kwenye muziki alianza...
Labels:
HABARI & UDAKU
TAZAMA VIDEO SNOOP DOGG AMPA SHAVU NAY WA MITEGO
Baadhi ya wana hip hop wanadai kuwa Nay wa Mitego hafanyi hip hop halisi, lakini rapper huyo controversial amepata shavu ambalo hakuna msanii wa hip hop Bongo amewahi kulipata – kupewa shavu na rapper mkongwe, Snoop Dogg.
Asante kwa video ya kuchekesha inayomuonesha babu akicheza na mwanamke mwenye makalio ya haja iliyochanganywa na sauti ya wimbo wa mpya wa Nay wa Mitego, Good Time, sauti yake imesikika kwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
WIMBO WA DIAMOND WAZIDI KUPANDA CHATI KWENYE PLAY LIST YA 1XTRA
Diamond Platnumz anachekelea tu sasa hivi kwasababu wimbo wake Kidogo aliowashirikisha mapacha wa P-Square umepanda daraja zaidi kwenye playlist za redio yenye heshima kubwa Uingereza, BBC Radio 1Xtra, Na ili kujua ukubwa wa hiki kilichotokea ni vyema ukafahamu kuwa ni nyimbo chache sana za Afrika zilizowahi kuingia kwenye playlist ya kituo hicho maarufu kwa burudani UK.
Tuliripoti siku chache zilizopita kuwa wimbo wake huo umeingia rasmi kwenye playlist zake lakini ukawa umewekwa kwenye orodha C. Na sasa wimbo huo umepanda hadi...
Labels:
HABARI & UDAKU
HAMISA MABETTO AZIDI KUTIKISA KWA PICHA ZAKE MPYA MTANDAONI
Labels:
HABARI & UDAKU
KANYE WEST KUFUNGUA MADUKA 21 YA NGUO WEEKEND HII
Labels:
HABARI & UDAKU
EDDY KENZO AAMUA KUANIKA MALI ZAKE HADHARANI
Wasanii wa Uganda wanafahamika kwa utajiri mkubwa walionao ambao mara nyingi hupatikana kwa show za ndani zisizokauka. Eddy Kenzo si msanii wa siku nyingi nchini humo lakini amefanikiwa si tu kuwa na mafanikio makubwa kuzidi wakongwe ikiwemo kushinda tuzo ya BET, bali pia kujikusanyia utajiri mkubwa.
Kupitia Instagram, staa huyo ameuonesha mjengo wake wa kifahari wa Kampala na kuwaacha mashabiki wakiwa mdomo wazi. Tzama picha hapa...
Labels:
HABARI & UDAKU
CRISTIAN RONALDO AJIPONGEZA KWA KUNUNUA GARI HII BAADA YA MICHUANO YA EURO
Mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka nchini Ureno, ambaye pia ni Mchezaji wa Klabu ya Real Madrid na Nahodha wa timu yake ya Taifa , Cristiano Ronaldo (31) ameamua kuwaonyesha mashabiki wake wa mpira zawadi aliyoamua kujizawadia baada ya kusadia Timu yake ya Taifa kutwaa Ubingwa wa Kombe la Ulaya mnamo mwezi July mwaka huu.
Ikiwa ni siku chache kabla ya kuanza msimu mpya wa Ligi ya Hispania (La Liga), Cristiano Ronaldo amepost katika ukurasa wake wa Instagram gari mpya yake mpaya aina ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
Thursday, August 18, 2016
WIMBO MPYA WA ALIKIBA JINA BADO LIMEBAKI KUWA KITENDAWILI
Baada ya kuonjesha kile ambacho tutakiona kwenye video ya ngoma yake mpya, Alikiba anaweza akawa ametupa jina la wimbo huo. Alikiba akiwa na warembo watakaoonekana kwenye video ya ngoma yake mpya
Mkali huyo wa Aje, ameanza kutumia neno #Kajiandae kwenye post zake mpya, huku kukiwa na uwezekano mkubwa kuwa likawa ndio jina la ngoma hiyo.
Hata hivyo bado haijulikani iwapo Kiba alienda Afrika Kusini kushoot video mbili au moja kwasababu...
Labels:
HABARI & UDAKU
YOUNG KILLER: NAFUNGUA DIRISHA LA USAJIRI KWA YEYOTE ANAYETAKA KUNIANDIKIA WIMBO
Young Killer amefungua milango kwa mwandishi yeyote anayeweza na mwenye nia ya kumwandikia wimbo utakaokuwa kwenye level zake. Pia amekaribisha producer yeyote mchanga mwenye uwezo wa kutengeneza midundo mikali.
Young Killer ameiambia Bongo5 kuwa huu ndio muda muafaka kwakuwa hakuwahi kuandikiwa nyimbo hapo kabla na mashabiki tayari wameshaufahamu...
Labels:
HABARI & UDAKU
NI KINYUME NA SHERIA KUMWANGALIA MWANAMKE KWA SEKUNDE 14
Watumiaji wa mitandao ya kijamii wamelalamika kuhusu tamko la afisa mmoja aliyesema kuwa ni kinyume na sheria kumuangalia mwanamke kwa zaidi ya sekunde 14 katika jimbo la Kerala nchini India.
Hakuna sheria kama hiyo nchini India lakini afisa huyo Rishiraj Singh ambaye ni kamishna amesema kuwa kumuangalia mwanamke...
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Posts (Atom)