Pages

Subscribe:

Monday, October 3, 2016

DIAMOND AZUNGUMZIA UGOMVI KATI YA MAMA YAKE NA ZARI

Diamond platnumz amesema hakuna ugomvi ndani ya familia yao kati ya mama yake, dada yake na Zari ila mashabiki ndio wanaokuza kwa kuwa wana IQ ndogo ya kutafsiri kinachopostiwa mtandaoni na watu hao Kuhusu kuwa na mahusiano na wasichana wengine amedai kuwa watu wanadi hivyo kwa kuwa kila wakimuona na msichana mzuri wanafikiri... anapiga kwa kuwa wao wana mazoea ya kupiga kila msichana mzuri.

0 comments:

Post a Comment