skip to main |
skip to sidebar
DIAMOND: ZARI NDIYE MODEL NILIYE WAHI KUMLIPA PESA NYINGI TANGU NIANZE MUZIKI
Mkali wa wimbo ‘Salome’ na Mkurugenzi wa WCB, Diamond Platnumz amesema
katika ma Model ambao amewahi kuwalipa hela nyingi ni Zari ambaye ni
mpenzi wake na Mama watoto wake pia. Diamond Platnumz baada ya kuulizwa ni model gani amewahi
kumlipa hela nyingi.
“Zari ndo mtu ni mlipa hela nyingi katika video ya “Utanipenda” unajua
hata kama ni Family ni mpenzi wangu lakini inapokuja kazi lazima iwe
kazi japo kuwa nilicho mlipa haikuwa... thamani yake japo alifanyia kidogo
fever lakini nilimlipa zaidi ya Milion kumi ndo model ambaye nimewahi
kutoa hela nyingi tokea nimeanza kufanya muziku” alisema Diamond.
0 comments:
Post a Comment