Saturday, April 8, 2017
Friday, April 7, 2017
RAY NA WEMA WAJIBIZANA MTANDAONI KISA ROMA
Matatizo huja na matatizo mengi na mara nyingi huwa ni kipimo cha upendo katika watu wanaohusika nayo. Kupotea kwa Roma na wenzake kumesababisha si tu taharuki, bali pia mvurugano wa hapa na pale.
Mrembo na muigizaji wa filamu, Wema Sepetu amewashutumu wasanii wenzake wa filamu kuwa hawaoneshi ushirikiano katika mkasa uliotokea kwa Roma.
Ameandika...
Labels:
HABARI & UDAKU
NAPE AMLILIA ROMA, ASEMA HAYA
Ikiwa leo ni siku ya pili tangu
ilipotolewa taarifa kuwa msanii Roma, Moni Centrozone, producer wa
Tongwe Records, Bin Laden na vijana wengine waliotekwa na watu
wasiojulikana walipokuwa katika studio hizo, bado haijafamika walipo.
Hata hivyo Jitihada za awali zilizofanywa
na watu wao wa karibu, akiwemo mke wa Roma, Nancy zimegonga mwamba.
Katika mahojiano na vyombo mbalimbali vya habari wiki hii, Nancy alisema...
Labels:
HABARI & UDAKU
BEBE COOL NA SAUTI SOL WAKAMILISHA COLLABLE YAO
Bebe Cool ameingia studio na Sauti Sol kutengeneza wimbo wao mpya. Muimbaji huyo wa Uganda amedaiwa kuwa amesafiri hadi nchini Kenya kwaajili ya kufanikisha wimbo huo uliopewa jina la ‘Mbozi za Malwa’ ambapo video yake pia inategemewa kuwa tayari hivi karibuni.
Kupitia mtandao wa Instagram wa kundi la Sauti Sol wamethibitisha kufanya kazi na Bebe kwa kuandika, “Squad...
Labels:
HABARI & UDAKU
WEMA: NTAMSHITAKI YEYOTE ATAKAYE TAFUTA KIKI KUPITIA MIMI
Malkia wa filamu nchini Tanzania, Wema
Sepetu, amesema atamshtaki yeyote atakayetaka kupata jina kubwa kwa
jamii kupitia mgongo wa jina lake kama baadhi ya wasanii waliotambulika
kwa jamii kupitia jina lake.
Wema alidai baadhi ya wasanii waliopata
majina makubwa kutokana na kuwa karibu naye hawana heshima wala fadhila
kwake, hivyo hataki kurudia makosa aliyowahi kuyafanya ya kumwamini...
Labels:
HABARI & UDAKU
DIAMOND ATOA WOSIA HUU KWA WATOTO ZAKE
Huwezi kutaja wasanii ambao wamechangia kupeperusha bendera ya muziki wa kizazi kipya duniani bila kutaja jina la ‘Nassib Abdul’ maarufu kama Diamond Platnumz.
Anyway, tukiachana na hilo.. Diamond Platnumz si mgeni kwenye jumbe tata kwenye mitandao ya kijamii. Lakini ujumbe wake mpya kwa watoto wake, Tiffah na Nillan umesababisha...
Labels:
HABARI & UDAKU
TAMKO KUTOKA WIZARA YA HABARI, SANAA NA UTAMADUNI KUHUSU ROMA
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetoa taarifa yake kuhusiana na kupotea kwa rapper Roma na wenzake. Taarifa inasema...
Labels:
HABARI & UDAKU
MRISHO MPOTO KUJA NA MPYA HII YA DEREVA TAXI
Msanii wa muziki wa asili nchini Mrisho
Mpoto amewataadharisha watu kwa wale wanaopenda kugawa simu zao kwa watu
wengine huku wakiwaruhusu wapige, waingize vocha zao, waandike ujumbe
mfupi au wafanyie chochote kile bila ya mwenye simu kujua anachofanya na
huenda kinaweza kuhatarisha maisha ya wengine na yako pia.
Mtunzi huyo mahiri ya mashairi ya
Kiswahili ambaye aliwahi kutajwa na vyombo vya habari kutaka kugombea
ubunge katika uchaguzi iliopita wa mwaka 2015, amekuwa akichambua...
Labels:
HABARI & UDAKU
Thursday, April 6, 2017
STUDIO YA TONGWE YAVAMIWA NA WATU WASIO JULIKANA, ROMA NA MONI WABEBWA NA MAJAMBAZI
Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule aka
Professor Jay, amesema rapper Roma Mkatoliki pamoja na rapper Moni
Central Zone wamechukuliwa na kupelekwa kusikojulikana na watu
waliozivamia studio za Tongwe Records jana usiku.
Profesa amedai watu hao wamemchukua pia kijana wa kazi, computer ya studio pamoja na TV.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Profesa alitoa taarifa hii kwa kuandika:
“ROMA
MKATOLIKI AMEKAMATWA USIKU HUU… Nimestushwa sana kusikia kuwa kuna watu
wamevamia studio za TONGWE RECORDS majira ya saa...
Labels:
HABARI & UDAKU
VICTORIA KIMANI ATAJA LIST YA NYIMBO 3 KALI ANAZO ZIKUBALI KUTOKA BONGO
Victoria Kimani si mgeni katika midani za muziki wa Bongo Flava. Amewahi kuwashirikisha Diamond na Ommy Dimpoz kwenye wimbo wake Prokoto. Lakini pia anafahamika kwa ukaribu wake na Vanessa Mdee.
Na pia kwakuwa Tanzania na Kenya zipo karibu mno kimuziki, mrembo huyo husikiliza nyimbo kibao za Bongo Flava, Hata hivyo, Victoria amezitaja nyimbo 3 anazozikubali zaidi kuwa ni...
Labels:
HABARI & UDAKU
UKIMYA WA B.O.B WAMFANYA ARUDI NA ALBUM
Baada ya kuwa kimya kidogo, B.O.B amerudi upya na ujio wa Album yake mpya ya ETHER inayotarajiwa kuachiwa May 12 mwaka huu.
Album ya “EITHER” ndio itakuwa album yake ya kwanza baada ya mkataba na Grand Hustle/Atlantic Records kuisha na hiyo itakuwa Album yake ya nne tangu kuanza kuachia kazi zake, kupitia kurasa yake ya Instagram, B.O.B aliposti...
Labels:
HABARI & UDAKU
BARAKA THE PRINCE: MIMI SIYO TEAM KIBA, TEAM YANGU NI YANGA TU.
Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya kijamii lazima utakuwa umekutana na jambo hili linalotafsiriwa kuwepo kwa ugomvi kati ya Team Kiba na Hitmaker wa Acha Niende, Barakah The Prince.
Team Kiba wamemtolea shutuma Barakah The Prince kuwa snitch/msaliti, amekuwa akijipendekeza kwa WCB lengo likiwa ni kutaka kujiunga nao baada ya kuonekana akiwa meza moja na mmoja wameneja wa Diamond Platnumz katika...
Labels:
HABARI & UDAKU
BLAC CHYNA ATUPILIA MBALI PETE YA ROB KARDASHIAN
Drama ya Blac Chyna na Rob Kardashian bado ipo pale pale na this time imekuja kivingine.
Kupitia ripoti ambayo imetolewa na E Newz imesema kwamba Blac Chyna alionekana usiku wa jumanne bila kuwa na pete yake ambayo alivishwa na Rob Kardashian April mwaka jana, huku baazi ya watu wa karibu wa Blac Chyna wamefunguka ya kwamba...
Labels:
HABARI & UDAKU
Story: FUTA MACHOZI MPENZI -- 02
ILIPOTOKA
Msichana mrembo, mwenye umbo matata, Pamela Ndanshau anakutana na Mzee Edward alipokuwa barabarani usiku wa manane. Mwanaume huyo anatokea kumpenda msichana huyo, anampa lifti na kumpeleka nyumbani kwao, Manzese.
Hajui historia ya msichana huyo, hajui kipindi kigumu anachopitia msichana huyo mrembo, anachokijua yeye ni kwamba msichana huyo anahitaji furaha, hivyo anachukua namba yake ya simu na kupanga kuzungumza naye.
SONGA NAYO
“Pamela! Upo wapi?” ilisikika sauti ya mwanaume kwenye simu, haikuwa sauti ya kawaida, ilikuwa ni sauti ya ukali. “Nyumbani baby!” alijibu...
Labels:
HABARI & UDAKU,
LOVE & STORY
Story: PENZI LA DADA (SEHEMU YA KUMI) 11
Baada ya kuonyeshwa chumba ntakachokua nnalala na Coleen na kuagana niliingia ndani na kuanza kujiandaa ili niweze kulala ktk makazi yangu mapya kwa mara ya
kwanza haikua rahis hata kidogo nilishapazoea Chicago sana nilijuana na watu wengi
wakiwemo wafanyakazi wenzangu ss nahamia ktk ofisi na Nyumba mpya mbali na Coleen na wapwa zangu hakuna nnaowajua ktk mji huo kwahyo mawazo yalikua mngi yaliyonisonga.
Sikuweza kupata usingi kwa haraka,, masaa yakapita nikiwa nimekaa kitandani huku
nikfikiria nitaanzia wapi ila mwishowe nikajipa moyo pengine huu ndio utakua mwanzo wa maisha mapya huku...
Labels:
HABARI & UDAKU,
LOVE & STORY
Story: SLAVE SEX (mTUMWA WA NGONO) 09
AGE…(18+)
ILIPOISHIA.
Isha Alisema huku akiweka tiketi ya ndege mezani kwa Nickson kumaanisa kuwa jambo la safari yake ya kwenda mkoani Kigoma hazikuwa mzaha.Ni kweli Nickson alitakiwa asafiri kikazi mkoani Kigoma siku hiyo saa nane mchana!
SONGA NAYO.
Barua aliyokuwa ameishika Nickson Shayo ilimtoa kijasho jembamba,akili yake ilimtuma ni lazima Bosi wake Magugu alifanya njama za yeye kupelekwa mkoani huko ili tu aweze kuwa mbali na mke wake, licha ya...
Labels:
HABARI & UDAKU,
LOVE & STORY
Story: SI KITU BILA PENZI LAKO - 13
Mara baada ya Patrick kujisikia nafuu, akaruhusiwa kutoka hospitalini ambako Gibson na mkewe wakamchukua na kwenda nae jijini Dar es Salaam. Gibson na mkewe walitaka kumpa Patrick kila kitu alichokihitaji katika maisha yake.
Kila mwezi mchungaji Smith pamoja na mkewe, Bi Rachel walikuwa wakimtumia fedha Gibson kiasi cha zaidi ya shilingi milioni mbili kwa ajili ya kumtunza Patrick ambaye kadri...
Labels:
HABARI & UDAKU,
LOVE & STORY
Wednesday, April 5, 2017
MAROMBOSO AFUNGUKA KINACHOFANYA NYIMBO ZA YAMOTO BAND KUVUJA
Ugonjwa wa kuvuja kwa nyimbo ambazo
hazijakamilika au muda wake wa kutoka umekuwa ukizidi kukua siku hadi
siku na kupelekea wasanii wengine kuwa katika wakati mgumu wa ku-release
nyimbo zao tofauti na mipango yao.
Kwa mara kadhaa tumekuwa tukisikia nyimbo
za Yamoto Band zikisambaa mitandaoni kabla yakufika kwenye Platform ya
Radio. Yaani unashangaa nyimbo inakiki tu mitandaoni lakini...
Labels:
HABARI & UDAKU
EDU BOY AJIBU DONGO ALILOPIGWA NA NIKKI MBISHI
Msanii wa Hip Hop anayewakilisha Mwanza, Edu Boy
amefunguka baada ya kufyatuliwa risasi na Rapper mwenzake, Nikki Mbishi
kwa kuandika ujumbe ambao Edu Boy ameonesha hajapendezewa nao ujumbe
huo.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Nikki Mbishi aliandika ” Huyu Edo Boy huwa ananiangusha sana kwenye interviews zake sijui ndo utoto! Hebu ngoja...
Labels:
HABARI & UDAKU
LINAH: WAZAZI WALIMKATAA MWANAUME ALIYENIPA UJAUZITO
Msanii wa muziki Linah Sanga ambaye kwa sasa ni mjamzito amefunguka kwa kudai kuwa wazazi wake walimkataa mpenzi wake wa sasa kwa kigezo cha dini. Muimbaji huyo ambaye amelelewa katika misingi ya dini ya kikristo, amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds Fm kuwa haikuwa rahisi kwa wazazi wake kumkubali mwanaume huyo.
“Mwanzoni wazazi wangu walimkataa mpenzi wangu kisa ni dini tofauti na mimi, lakini sasa hawana pingamizi,” alisema Linah. “Tumeunganisha damu na kwenye mahusiano naamini...
Labels:
HABARI & UDAKU
MR T TOUCHEZ: KABLA YA KUKUTANA NA YOUNG D ALIKUWA NA KAZI NZURI
Prodyuza anayesumbua kwa sasa kwa kuwa na 'hits' kali sokoni, Mr T
Touchez amejinasibu hana historia ya kutengeneza kazi mbovu hivyo
wanaomponda kwa kumsajili 'Paka rapa' Young D watulie wasubiri kazi
kubwa wanayoipika ndipo waanze kuhukumu.
Akizungumza
kwenye eNewz ya EATV Mr. T Touchez amesema baada ya kutangaza kuwa
amemsaini msanii huyo maneno yamekuwa mengi na watu wamemponda kuwa
hawezi...
Labels:
HABARI & UDAKU
EDU BOY: SIJAMUIMBA MADEE KWA NIA MBAYA
Msanii wa Hip Hop anayewakilisha Mwanza, Edu Boy amejitetea
kupitia Planet Bongo ya EATV kuhusu mstari aliomtaja msanii wa 'Tip Top
Connection' Madee kwamba hakumtaja kwa nia mbaya bali alimuweka ili
kuonesha jinsi gani msanii huyo alimfungua macho
Edu
Boy amesema kwamba lengo la kumtaja madee kwenye wimbo wake ni kwa
sababu kuna kipindi alimuomba amsaidie kumtoa kimuziki lakini alimshauri
aendelee na....
Labels:
HABARI & UDAKU
DAYNA NYANGE ATIKISA HUKO NIGERIA BAADA YA KUTWAA TUZO MBILI
Msanii wa muziki nchini anayefanya vizuri na wimbo ‘Komela’ Dayna Nyange amechukua tuzo mbili za BEA nchini Nigeria zilizotolewa weekend iliyopita. Muimbaji huyo amechua tuzo ya Best African Artist pamoja na Best Vocal Performance Female. Dayna ameiambia Bongo5 kuwa kamati ya tuzo hizo inafanya mchakato wa kumtumia tuzo zake.
Kupitia Instagram ameandika:
Leo imekuwa siku yangu ya furaha sana sana sana Na ningependa ni washukuru woteeMliokesha...
Labels:
HABARI & UDAKU
KISA KAMILI CHA BINTI ALIYE JITUPA BAHARINI WAKATI AKIRUDISHWA ZANZIBAR
Msichana huyo alikuwa akiwasiliana na mvulana huyo ambaye walifahamiana kupitia Facebook, kwa kutumia simu ya mkononi.
Mwandishi alifika Kikwajuni, nyumbani kwa msichana huyo ambaye ni...
Labels:
HABARI & UDAKU
RAYVANNY: NILIKUWA NAFIKIRIA NTAIMBA AINA GANI YA WIMBO NA BAHATI
Baada ya msanii wa muziki wa WCB, Rayvanny kushirikiana na msanii wa Injili wa Kenya, Bahati katika wimbo ‘Nikumbushe’ amefunguka kuzungumzia namna alivyoweza kushirikiana kimuziki na muimbaji huyo wa Injili na kuweza kupata kitu kizuri.
Akiongea katika kipindi cha Jahazi cha Clouds FM Jumanne hii, Rayvanny amedai kabla ya kuanza kuimba alianza kuimba kwaya kanisani. “Kwanza mimi nimekuwa nikimfuatilia Bahati kwa muda mrefu na nilikuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
MSAMI: AT HANA UBORA WOWOTE KWENYE MUZIKI
Msanii Msami amemchana AT na kumtaka
aboreshe kazi zake badala ya kulalamika kuwa kuna watu wanaobebwa huku
akimuonya kwamba wasanii anaowaita wacheza shoo wana maisha mazuri na
mafanikio makubwa kumzidi yeye.
Msami ameonesha kukerwa na kauli ya AT
iliyodai kuwa wanaobebwa kwenye muziki ni wale wanao ‘dance’ huku wakiwa
hawajui kuimba. Katika hatua nyingine msanii huyo ameongeza kwamba AT
hana...
Labels:
HABARI & UDAKU
WHATSAPP KUANZISHA HUDUMA YA KIFEDHA
Huduma ya kutuma ujumbe kubwa zaidi duniani, WhatsApp, hivi karibuni itawaruhusu makumi kwa mamilioni ya watumiaji wake kutuma kitu muhimu zaidi ya picha ama video – fedha. WhatsApp inailenga zaidi India, soko lake kubwa zaidi kwa uwezekano wa kuingia katika malipo ya mtandaoni. App hiyo inayomilikiwa na Facebook, inaajiri mkurugenzi wa kuongoza jitihada hizo za malipo ya dijitali katika nchi hiyo ya Kusini mwa Asia.
Huduma hiyo itashirikiana na mabenki katika kusaidia miamala ya kidijitali kwa kutumia WhatsApp. India ina watumiaji wa WhatsApp milioni 200 kila mwezi ambayo ni...
Labels:
HABARI & UDAKU
KAULI YA JOH MAKINI JUU YA VIDEO YAKE ANAYO SHOOT NA DAVIDO
Usiku wa kuamkia April 4 tulikutana na post ya Davido katika kurasa yake ya Instagram akionyesha kinachoendelea pande za S.A akiwa na Mtanzania Joh Makini wakishoot video ya ngoma ambayo ameshirikishwa na Joh.
Post ambayo ilimake headlines na kumaliza maswali ya wapenzi wengi wa muziki wa Joh Makini kuhusu ile collabo ambayo walikuwa wakiiisubiri kwa muda mrefu ya Joh Makini na mkali huyo kutoka Nigeria. Mwandishi aliamua kumtafuta Joh Makini na kupiga naye story kuhusiana na kilichokuwa kikitrend katika mitandao, na Joh hakusita kufunguka...
Labels:
HABARI & UDAKU
STORY: FUTA MACHOZI MPENZI 01
“Unafanya nini hapo binti?” ilisikika sauti ya mwanaume mmoja kutoka katika gari la kifahari, lilikuwa Range Rover SUV ya rangi ya kijivu yenye gharama zaidi ya milioni mia moja. “Nasubiri usafiri!” alijibu msichana huyo aliyeulizwa swali, sauti yake ilikuwa nyororo mno, alivaa sketi fupi na laini iliyoyaacha mapaja yake wazi kwa asilimia kubwa.
“Unauza tuongee biashara?” aliuliza mwanaume huyo.
“Nani? Mimi? Hapana! Nimetoka kwenye pati,” alijibu msichana huyo huku akionekana...
Labels:
LOVE & STORY
STORY: PENZI LA DADA (SEHEMU YA KUMI) 10
nilifika alipolala Coleen na kumuangalia huku mapigo ya moyo yakiongezeka speed
kutokana na hofu licha ya kuwa nilikua na hamu ya kumuona tena Coleen lakini nilijua
wazi ninachokifanya hakikua kizuri na endapo Coleen akishtuka, cjui atachukua uamuzi gani lakini kufikilia hayo yote nguvu ya ibilisi ilikua kubwa kwani licha ya kujua madhala yote hayo nikapotezea na kutaka kutimiza azma yangu.
kutokana na hofu licha ya kuwa nilikua na hamu ya kumuona tena Coleen lakini nilijua
wazi ninachokifanya hakikua kizuri na endapo Coleen akishtuka, cjui atachukua uamuzi gani lakini kufikilia hayo yote nguvu ya ibilisi ilikua kubwa kwani licha ya kujua madhala yote hayo nikapotezea na kutaka kutimiza azma yangu.
Nilianza kushika gauni la Coleen ambalo ni jepesi maalum kwa kulalia huku jasho
jembamba likinitoka hadi katika vidole mwili wote ukawa baridi kama nimepigwa sindano ya ganzi nilishika taratibu hadi...
Labels:
HABARI & UDAKU,
LOVE & STORY
STORY: SLAVE SEX (MTUMWA MWA NGONO) 08
AGE….(18+)
ILIPOISHIA.
“Siamini,embu twende tena sasa hivi”
Nickson hakutania, aliwek a shati mwilini wakavaa nguo na kuingia kwenye gari usiku huo huo wakanyoosha mpaka hospitalini,ni kweli Nickson hakuamini kusikia kuwa Mke wake ameshika mimba,kwake jambo la kupata mtoto lilikuwa kama ndoto na ilikuwa ni lazime itimie!
SONGA NAYO.
Nickson alikuwa katika hali ya furaha mno kuliko siku zote za maisha yake,alitamani siku ziende harakaharaka na miezi tisa ifike ili..
Labels:
LOVE & STORY
STORY: SI KITU BILA PENZI LAKO-12
Alijulikana kwa jina la Gabriel Smith, mchungaji ambaye alikuwa akitokea katika nchi ya Marekani ndani ya jiji la New York. Mchunngaji Smith alikuwa na kanisa kubwa kuliko kanisa lolote katika jiji la New York. Kila siku kazi yake ilikuwa ni kuhubiri Injili katika sehemu mbalimbali duniani.
Hakuwa akitulia kanisani kwake, mara kwa mara alikuwa akisafiri kuelekea katika nchi mbalimbali kuhubiri Injili. Katika kila nchi ambayo alikuwa akienda, wagonjwa...
Labels:
HABARI & UDAKU,
LOVE & STORY
Tuesday, April 4, 2017
WOLPER: HATA IWEJE HARMONIZE HAWEZI KUNIBWAGA
Malkia wa filamu Jacqueline Wolper amefunguka kwa kudai kuwa mpenzi wake wa sasa Harmonaze hana uwezo wa kumuacha kimapenzi pamoja na tetesi ambazo zimekuwa zikisikika kwamba mwanamuziki huyo kuwa ana warembo wengine anaotoka nao kimapenzi.
Wawili hao kwa sasa wako karibu zaidi baada ya wiki chache zilizopita kudaiwa wameachana, Akiongea na mtandao wa Central Filamu wiki hii, Wolper amedai yeye...
Labels:
HABARI & UDAKU
BARNABA AKIRI UWEPO WA MUNGU BAADA YA KUTOKEWA NA MUUJIZA SIKU YA LEO
Siku kadhaa baada ya kutoa taarifa ya kuibiwa vitu katika gari yake
ikiwemo pasi ya kusafiria msanii wa kizazi kipya Barnaba 'Baba
Steve' amewataka watu waamini Mungu yupo baada ya asubuhi ya leo
kuletewa vitu vyake kwenye bahasha.
Hit
maker huyo wa ‘Lover Boy’ amesema kuwa Mungu amemtendea miujiza baada
ya kijana aliyejitambulisha kwa jina moja la...
Labels:
HABARI & UDAKU
ERIC SHIGONGO AENDELEA KUTIRIRIKA HAYA JUU YA ALIKIBA
Eric Shigongo ameendelea kutoa ushauri kwa Alikiba na uongozi wake. Soma alichoandika awamu hii:
Kama nilivyosema kwa Diamond kwenye ushauri wangu kwamba
alifikishwa hapo alipo na mashabiki zake, anatakiwa kuwaheshimu sana
hata kama ni wachache au wengi kwani pasipo kufanya hivyo, mambo
yanaweza kumuharibikia kama tulivyoona kwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
BABU TALE AISHIWA KIFO MWENYEWE ASEMA HAYA
Siku chache zilizopita katika mitandao ya kijamii tulishuhudia majibizano kati ya Mkurugenzi wa kampuni ya Global Publishers, Eric Shigongo na meneja wa msanii Diamond Platnumz, Babu Tale, Ikiwa majibizano hayo yalianza kwa Eric Shigongo baada ya kuandika ujumbe mrefu kumuhusu msanii Diamond Platnumz akilenga kile ambacho anahisi hakiko sawa kufanywa na msanii huyo.
Babu Tale kwenye exclusive interview na amefunguka kuhusu suala hilo na kudai kwamba ametishiwa maisha na tayari amekwisha...
Labels:
HABARI & UDAKU
VIDEO: MWANAMKE ALIYE JITUPA BAHARINI KUTOKA KWENYE BOTI YA AZAM AOKOLEWA
Mwanamke mmoja ambaye jina lake halijapatikana aliyekuwa kwenye boti ya Azam Kilimanjaro 5 ikitokea Zanzibar kuelekea Dar es Salaam, alijitupa baharini maeneo ya Chumbe wakati boti ikiwa katika mwendo. Mwanamke huyo kaokolewa na haijafahamika ni sababu gani zilimfanya ajitose baharini.
Tazama video ya tukiozima nimekuwekea hapa chini...
Labels:
Downloads,
HABARI & UDAKU,
VIDEOS
TAMMY AFUNGUKA KUHUSU KUJIACHIA NUSU UTUPU
Msanii wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Tamara Ally ‘Tammy The Baddest’ ameweka wazi sababu zinazomfanya kujiachia nusu kwake ni kitu cha kawaida na hata mazingira ya nyumbani kwao na wazazi wake wamemzoea, hivyo haoni cha ajabu.
Akizungumza, Tamara anayebamba na Wimbo wa Mtoto wa Kike alisema, kukaa nusu utupu mpenzi wangu mwenyewe ananichukulia poa kwani ni...
Labels:
HABARI & UDAKU
PICHA: MUONEKANO WA NICKI MINAJ NDANI YA FASHION REBEL AWARDS
Nicki Minaj amezdi kuwa gumzo katika maswala ya fasheni achilia mbali na muziki siku ya jumapili Minaj ametunukiwa tuzo ya Fashion Rebel Award baada ya kuwa na muonekano wa tofauti kila kukicha, Nimekuwekea baadhi ya picha ya tukio lilivyokuwa hapa chini...
Labels:
HABARI & UDAKU
NEYMAR JR APEWA JINA JIPYA NA KOCHA LUIS ENRIQUE
Kocha wa Barcelona Luis Enrique amemwita Neymar “mnyama” baada ya mshambuliaji huyo, kufunga bao lake la 100, katika ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Granada.
Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa
Brazil, alifikia idadi hiyo mabao, katika michezo 177, akimzidi Lionel
Messi, mabao 10, kipindi...
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Posts (Atom)