STAA wa Filamu za Kibongo, Zuwena Mohammed ameamua kujivisha pete ya
uchumba mwenyewe, kitendo ambacho kimezua minong’ono kwa watu wengi
wakidai kuwa amevishwa na mtu ambaye hajamuweka wazi.
Akizungumza, Shilole alisema kuwa aliwahi kuvishwa pete na aliyekuwa mpenzi wake, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, ikapotea kitatanishi kisha Nuh akaoa mwanamke mwingine hivyo akaona... kuliko kidole hicho kibaki tupu, akisitiri.
“Pete ile ya Nuh ilipotea, sijui huwa ni za mashetani? Nimeona ninunue nyingine niivae, hakuna cha mwanaume wala nini, mimi sijaona tatizo kuivaa na huenda ndiyo naiita ndoa,” alisema Shilole.

0 comments:
Post a Comment