
Akipiga stori, Mamisa alisema picha na habari za baba mtoto wake huyo, anaona ni jambo la kawaida, kwani... asipojiheshimu mwenyewe hakuna atakayemheshimu.
“Hizo habari na picha naona kawaida tu maana mtu asipojiheshimu mwenyewe hakuna atakayemheshimu, niko kwa kina Young D tunalea tu mtoto lakini uhusiano wa kimapenzi ulishaisha,” alisema.
Alipotafutwa Amber Lulu kujibu inakuwaje anajiachia kimahaba na msanii huyo angali akijua ana mtoto na mwanamke mwingine, alisikiliza kabla ya kucheka na kukata simu huku ile ya Young D ikiita bila kupokelewa.
0 comments:
Post a Comment